Msaada: M-PESA, Tigopesa, Airtel Money inalipaje?

Msaada: M-PESA, Tigopesa, Airtel Money inalipaje?

Mr Suprize

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
869
Reaction score
961
Jambo wadau,

Naomba nipate mawazo yenu juu ya hii biashara ya kutuma na kupokea pesa kwa njia ya mitandao ya simu nataka nianze kufanya hii biashara, naomba nijue faida Inapatikanaje.?
 
Faida inapatikana kwa kuweka au kutoa miamala mfano akija mtu akaweka tigo au kutoa 20,000 uanapata camission ya shilingi 200 hivi. Kadri unapapofanya miamala zaidi unapata cammision nyingi.

Cammision hii hujumlishwa na hulipwa kila mwisho wa mwezi.
 
inalipa sana ukiwa na location nzur unapata faida kubwa nibiashara nzuri
 
Asanten sana wadau kwa michango yenu,,
 
iko poa sana cha msing ni location na kuwa imara kwan biashara ina challenge nying unapoianzisha! wishng u ol da best mkuu
 
ukitk tu line nicheki ninazo zote za uwakala ....kila lenye heli
 
Faida inapatikana kwa kuweka au kutoa miamala mfano akija mtu akaweka tigo au kutoa 20,000 uanapata camission ya shilingi 200 hivi. Kadri unapapofanya miamala zaidi unapata cammision nyingi.

Cammision hii hujumlishwa na hulipwa kila mwisho wa mwezi.

mkuu hiyo ni kwa mitandao yote au?:confused2:
 
Zaidi ya location challenge nyingine Ni zipi ndugu?

Challenge nyingine ni umakini wa kujua sms halisi iliyotumwa na mtandao na ile feki ya vijana wa mjini. Chunga sana service centre za mitandao vinginevyo unaweza kutoa hela kwa sms ya kawaida. Changamoto nyingine ni kuwa na mtaji wa kutosha kueneza kwenye hiyo mitandao na uwe na cash ya kuwalipa watakaotoa. Mwisho malipo utakayolipwa yatakatwa kodi. Fanya kwanza uchunguzi wa watakaokuwa wateja wako wanatumia mtandao upi ndio utafute line. KAZI KWAKO NA MAJAMBAZI HAWATAKUWA MBALI NAWE HASWA KAMA UTATOA HUDUMA ZA USIKU.WAKIKUWAHI WAAMKIE SHIKAMOONI MAKAMANDA.
 
Back
Top Bottom