Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
Zipo kibao tu nenda pharmacy utapata hazizidi elfu kumidawa yake vipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo kibao tu nenda pharmacy utapata hazizidi elfu kumidawa yake vipi
Hiyo ni 'fungus' nami iliwahi nikamata nchi za joto, lakini nilishasahau dawa gani ilinisaidia, maana ni muda mrefu umepita.Kama picha inavyoonekana hapo, nasumbuliwa na hayo mabaka kwenye kende hapo. Vinawasha hatari sio poa.
Msaada wenu dawa gani inafaa?
View attachment 1267366
Ukishapata tiba uwe unaogea sabuni ambazo ni medicated kama Dettol au protex hutapatwa tena na hizo dude.Kama picha inavyoonekana hapo, nasumbuliwa na hayo mabaka kwenye kende hapo. Vinawasha hatari sio poa.
Msaada wenu dawa gani inafaa?
View attachment 1267366
Au nyingine kwa fangasi na muasho kanunue TRIODENT 3000Pole sana mkuu kama bado haujaenda hospital, tafuta sawa inaitwa whitefield ointment, kweny maduka ya dawa ipo, haiwezi kuzidi sh 2000
Utakuja kunishukuru
Kama picha inavyoonekana hapo, nasumbuliwa na hayo mabaka kwenye kende hapo. Vinawasha hatari sio poa.
Msaada wenu dawa gani inafaa?
View attachment 1267366
Hizo ni fangasi..nenda hospitali.usijaribu kutumia dawa bila ushauri wa dakitari. pia acha kuoga maji yenye chimvi chumvi pamoja na kuvaa boxer inayobana sana.Kama picha inavyoonekana hapo, nasumbuliwa na hayo mabaka kwenye kende hapo. Vinawasha hatari sio poa.
Msaada wenu dawa gani inafaa?
View attachment 1267366