Msaada: Mabaka haya kwenye korodani dawa yake nini?

Msaada: Mabaka haya kwenye korodani dawa yake nini?

Kama ulikuwa huifahamu basi hio ndio "PUMBU EROSION" ni ugonjwa Al-Maaruf sana mitaa ya shule za boarding za kiume...ama "U boyzini" tiba yake ni anti-fungal creams tu utapona. Nakumbuka huo usenge ulinitesa for weeks kabla sijaisanukia dawa yake.
 
Hiyo ni fagus mkuu inatokana na unapooga hujifuti maji vizuri au unavaa nguo zikiwa mbichi ilishawahi kunipata huwa vinawasha sana hasa wakati joto limezidi. Kuna dawa niliitumia ni ya kupaka iko mtindo kama zile dawa za macho za kuminya Hata dispensary Zipo nimesahau jina kdgo ni muda niliwahi kuitumia, unapata mara tatu kwa siku baada ya wiki tuu fresh. Kaulizie bei nadhani ni elf6
 
asante mku na ninakubali kama nimeambukizwa coz kuna manzi nilimkuta na hizi mambo
Yaan unakuta mtu anayo vitu kama hivyo unakula uyo alikuwa mchafu sana huenda na mdomo uliwekea kwaiyo k yake
 
Pumbu erosion hiyo.
Chukua vitamin b complex itapotea mara 1

Yah upo sahihi! Vitamin B Complex ndiyo Kiboko wa hayo mabaka.

Nilishawahi kupata hako kwa ugonjwa na nikamaliza Cream, ointment na vidonge vyote vya Antifungal na some Antibiotics lakini iligoma.

Nikakutana na jamaa akaniambia yeye alikuwa na Fungus kwenye Pumbu akashauriwa atumia Vidonge vya Vit B Complex na akapona kabisa. Hapo hapo nikaingia DLDM kuvinunua vya Jero tu nikavinywa kwa Wiki moja basi nilipona kabisa.

Zaburi 23
 
Combine (quandriderm cream na dexaquin cream)

Kwa mujibu wa maelezo ya daktari wangu ambaye hayupo JF.
 
Mambo yetu yale, oooh baby nitoe maji. Sasa maji naona yanataka kutoa mtumbwi.
 
Wakuu hiyo kitu inanitesa sana, nimetumia sonadem sana pamoja na intraconazole lakin siponi. Inapotea kwa muda mchache nisipotumia dawa hali inajirudia. Mwenye tiba ya kudumu tafadhari msaada wako unahitajika sana
 
Wakuu hiyo kitu inanitesa sana, nimetumia sonadem sana pamoja na intraconazole lakin siponi. Inapotea kwa muda mchache nisipotumia dawa hali inajirudia. Mwenye tiba ya kudumu tafadhari msaada wako unahitajika sana
Hiyo ni chronic fungal infection. Inasababishwa mara nyingi na unyevu wa mara kwa mara wa meneo hayo, na pia hali ya uchafu kama vile kutumia boxer moja kwa muda mrefu bila kubadilisha, hasa maeneo yenye joto kama Dar.

Matibabu:
1.Kitu kikubwa cha kwanza, kabla ya matibabu yoyote yale ni kuzingatia usafi wa maeneo hayo, ikiwa ni pamoja na kutovaa boksa kwa zaidi ya siku moja hasa kwa maeneo yenye joto kama Dar, pamoja na kuhakikisha kuwa unapomaliza kuoga, umejifuta vyema maeneo hayo, na pia unapomaliza kujitawaza kwa maji baada ya haja kubwa, unajifuta majimaji na taulo au toilet paper na kuhakikisha kuwa maeneo hayo ni makavu kabisa.

2.Pili, kama unatumia chupi, nashauri uachane na chupi uwe unatumia boksa ambazo ni pana, zinapitisha hewa na ni za COTTON kwa 100% (hizi ni expensive zaidi, but ndizo ambazo zinashauriwa kiafya kwa usalama wa nyeti zako).
3.Tatu, wakati unatumia dawa, hakikisha kwamba boksa zako zote umeziloweka kwenye maji ya moto kabisa kwa muda wa dakika 15-20 kisha uzifue kwa sabuni, na kuzianika kwenye JUA, halafu kabla ya kuzivaa tena uzipige pasi vizuri.

4.Usivae boksa mbichi au yenye unyevu, pia hakikisha boksa zako unazianika kwenye JUA (sio ndani chini ya kitanda); Na hakikisha UNAPIGA PASI boksa kabla hujaivaa.

5.Kama una mpenzi wako ambae mnakutana kimwili, hakikisha pia na yeye anatumia dawa KABLA hujakutana nae tena (dawa za fungus za sehemu za siri kwa wanawake ni tofauti); Otherwise, utajitibu wewe, halafu ukirudi tena kwa mpenzi/mke wako, anakuambukiza tena, fungus zinarudi tena UPYA! Haya maelezo niliyokupatia ni muhimu sana ukayafahamu na ukayafuata,kabla na wakati unakunywa dawa, la sivyo kila siku wewe utakua ni mtu wa kunywa dawa za fungus.

Pole sana
wa ukwee
 
mkuu hizo dawa zinaitwaje
Brother hiyo ni 'Pumbu erosion' almaarufu kama PE

wala haiambukizwi kwa njia ya mapenzi,bali ni kwa maji, hata hayo unayotumia kufulia boxa. Cha kufanya fua hizo boxa na maji moto acha zikauke halafu piga pasi ya moto mkali.

Tafuta zile dawa za mapunye za kupaka halafu paka na shinda ndani siku hiyo bila chupi acha kende zipigwe na hewa siku moja tu zinapotea.
 
Mkuu Mimi nauliza tiba ya fangasi,
Zipo katikati ya korodani na mapaja nadhani kutokana na hili joto na zinasababisha maumivu makali.dawa yake ni IPI?
 
Back
Top Bottom