jeffmichael
New Member
- Dec 20, 2022
- 1
- 0
Naomba msaada kujua mabasi ya kwenda Arusha, nilikuwa napanda Shabiby na yamejaa mpaka tarehe 26, binafsi nataka safiri kesho mchana tarehe 21.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheki MachameNaomba msaada kujua mabasi ya kwenda arusha, nilikuwa napanda shabiby na yamejaa mpaka tarehe 26, binafsi nataka safiri kesho mchana tarehe 21.
Kidia one imejaa mpaka tarehe 25 kwa kifupi magari yote yamejaa isipokuwa kidia one ya Nairobi ambayo unakata tiketi kwa 60,000 TSH.Kidia One
Dodoma-Arusha aende Shekilango?Kidia one imejaa mpaka tarehe 25 kwa kifupi magari yote yamejaa isipokuwa kidia one ya Nairobi ambayo unakata tiketi kwa 60,000 TSH.
Kukusaidia nenda shekilango kuna coster nyingi tu za Arusha/ Moshi
Napendekeza hizi kwa kufuata ubora na idadi ya magariNaomba msaada kujua mabasi ya kwenda arusha, nilikuwa napanda shabiby na yamejaa mpaka tarehe 26, binafsi nataka safiri kesho mchana tarehe 21.
Silipendi sijui kwann 😄Cheki Machame
Hahaa kwanini jamani, au hilo jina lakeSilipendi sijui kwann 😄
Mtu huyo DomKidia one imejaa mpaka tarehe 25 kwa kifupi magari yote yamejaa isipokuwa kidia one ya Nairobi ambayo unakata tiketi kwa 60,000 TSH.
Kukusaidia nenda shekilango kuna coster nyingi tu za Arusha/ Moshi
Kuna wakati nilipandaga la Dar to ArushaHahaa kwanini jamani, au hilo jina lake
shekilango tena !, Naa ajambo ?Kidia one imejaa mpaka tarehe 25 kwa kifupi magari yote yamejaa isipokuwa kidia one ya Nairobi ambayo unakata tiketi kwa 60,000 TSH.
Kukusaidia nenda shekilango kuna coster nyingi tu za Arusha/ Moshi
BM wako poa sanaKuna wakati nilipandaga la Dar to Arusha
Saa 12 jioni ikagonga ndo tuko Usa River
Basi tokea hapo nalichukukia
Hata ukitaka kunitumia parcel ukanambia uende Machame nakukataza
Parcel nawapenda BM
Kusafiri Kidia