Mkuu Asante sana Kwa mawazo haya.Mungu akubariki1. Kunywa maji mengi. Atleast lita 3 kwa siku.
2. Dhibiti matumizi ya simu, laptop, computer, na Luninga
3. Kula karoti mbili kwa siku. Moja asubuhi nyingine jioni. Kwa miezi mitatu.
4. Lala muda wa kutosha masaa yasiyopungue 8. Na kuanzia saa 2 au saa tatu usiku.
Wakati flani, dawa tunazotumia huwa zina "side effects", ambazo hudumu kwa muda mfupi na kisha kutoweka, kwani wapiganapo fahari wawili ziumiazo ni nyasi! Hivyo, kuwa mvumilivu, huenda ni jambo la muda mfupi tu.Jamani niliugua kitu kinafanana na red eyes,, mishipa ikion jua ikawa inauma sana. Nikaenda hapa Bugando polyclini near Mwanza nikapimwa nikapewa daw ya maji..nimetumia ika wa unafuu ikawa hakuna.
Baadaye nikapewa dwa za maumivu nikameza ikawa Ile Hali ya maumivu ya misuri ikawa imeisha. Lakini sasa ghafla kuanzia Jana macho hayawezi kuona ..yaani tv ikiwa mita kumi kutika kwangu siwezi kuona clearly picha Wala maandishi.
Je, kuna mwenye uzoefu wa hili tatizo na ukufabya je kukabiliannalo.
Naomba ushari
Una matatizo ya macho. Nenda kamuone dr wa macho kama kuna umuhimu bila shaka utapata miwani. Achana na ushauri wa huku, matibabu hutolewa baada ya dr kumfanyia mgonjwa diagnosis.Dah hili tatizo la kushindwa kusoma maandishi ya kwenye TV ikiwa mita 10 hata mimi ninalo ngoja nisubiri majibu
Usiwe mrahisi hivyo kuamini ushauri bila kujua tatizo. Matibabu siku zote hutolewa na dr baada ya kukuangalia na kujua tatizo lako ni nini. Nenda kwa dr wa macho anayeaminika, hasa waliopo hospital zinazojulikana.Mkuu Asante sana Kwa mawazo haya.Mungu akubariki
Tatizo madaktari wanakimbilia kukuvalisha miwaniUna matatizo ya macho. Nenda kamuone dr wa macho kama kuna umuhimu bila shaka utapata miwani. Achana na ushauri wa huku, matibabu hutolewa baada ya dr kumfanyia mgonjwa diagnosis.
Ngoja nitestHuoni kwa sababu kile kiini cha kati cheusi kimesinyaa, cha kufanya:-
Kaa mbali na vitu vyenye miale mfano tv, simu, laptop n.k kwa muda wa wiki moja. Kula vyakula vya lishe mfano supu ya mchicha, maharage, uji wa ulezi kwa pamoja. Usitumie pombe kwa sasa, kama huwa unatumia. Lala muda mrefu. Baada ya kama siku mbili au tatu, jicho litarudi katika hali ya kawaida. Kama umetumia dawa za maji hazijakusaidia, sitisha kwanza; kwa sababu ukitumia zaidi huwa zinatabia ya kukausha maji ya jicho na kufanya kuwa kavu, ndio maana tunashuriwa tutumie 1 drop.