Msaada, macho yamekosa nguvu ya kuona mbali baada ya kutumia Dawa kutibu Red eyes

Una matatizo ya macho. Nenda kamuone dr wa macho kama kuna umuhimu bila shaka utapata miwani. Achana na ushauri wa huku, matibabu hutolewa baada ya dr kumfanyia mgonjwa diagnosis.
Miwani ninayo lakini nayo inegoma sasa.Shida Niko polini hadi nirudi mwanza ua dar kupata huduma..ila nimeeleza hali halisi ya sasa
 
Mkuu miwani nayo kuna wakati inafanyiwa ''update'' hasa kama tatizo lako la macho limezidi. Ukipata nafasi nenda ukapimwe tena. CCBRT nadhani kuna wataalam wazuri hasa kwa walio Dar. Kwa maelezo yako inaonyesha tatizo lako linataka miwani. Kuna wakati kila jicho linakuwa na tatizo lake hivyo wanakupa miwani yenye lensi tofauti kila jicho.
 
Miwani nilipewa mwezi wa 11 mwaka jana
 
Kila siku mnaambiwa red eyes msitumie dawa yoyote. Tatizo watu wabishi sana...
Kuna wengine wamekuwa vipofu kwa kutumia tiba za asili
 
Wewe labda hujaugua,,mishipa ilikuwa inatafuna kama vile umechoma mti machoni
 
Kweli sijaugua lkn wizara ya afya ilitangaza kwamba hakuna dawa ya red eyes ila kunawa na maji.
Madhara ya kutotii ni kama hayo uliyoyapata.

Shukuru Mungu maana kuna wenzako wamekuwa vipofu kabisa
 
Hizo dawa nilipewa na Dr kutok Bigando
 
Back
Top Bottom