mkuu ushauri wangu, rudi hospital waeleze tena kwamba dawa waliyokupa amoxilin haijafanya kazi, watachukua kipimo kwenye koo lako ( throat swab) then wataenda kuwa culture hao wadudu ilikugundua ni bacteria gani wanasababisha huko kuumwa kwenye koo, bacteria wanaweza kua streptococcus pyogenes, strept pneumonia au hata heamophilus influenza...wakisha gundua ni bacteria gani watafanya drug sensitivity ili wajue ni dawa gani inaweza kuwatibu, kwasababu dawa nyingi za hawa bacteria wamedevelop resistance, baada ya hapo sasa watakupa dawa sahii...kila la kheri