PistolGang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 392
- 44
Habarini madokta?
Mimi jamani ni wiki sasa tangu nianze kupata matatizo katka koo, lilianza kuwa kavu, mara kuwashawasha na kuchomachoma mwisowe madonda mpaka leo.... Kilichofuata ni mafua na homa kichwa kuuma pia.
Nimeenda hospitali nmecheki maleria na minyoo ila sina minyoo na maleria ninayo tatu tu. Nimepewa dawa za maleria na amoxlini, ila koo baado linaninyma raha.
Kwa mwenye dawa ya haraka ya tatizo hili please.