Msaada: Madonda kooni, mafua mixer homa kali vinanisibu. Nini dawa ya haraka ya madonda?

PistolGang

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
392
Reaction score
44
Habarini madokta?
Mimi jamani ni wiki sasa tangu nianze kupata matatizo katka koo, lilianza kuwa kavu, mara kuwashawasha na kuchomachoma mwisowe madonda mpaka leo.... Kilichofuata ni mafua na homa kichwa kuuma pia.
Nimeenda hospitali nmecheki maleria na minyoo ila sina minyoo na maleria ninayo tatu tu. Nimepewa dawa za maleria na amoxlini, ila koo baado linaninyma raha.
Kwa mwenye dawa ya haraka ya tatizo hili please.
 
mkuu ushauri wangu, rudi hospital waeleze tena kwamba dawa waliyokupa amoxilin haijafanya kazi, watachukua kipimo kwenye koo lako ( throat swab) then wataenda kuwa culture hao wadudu ilikugundua ni bacteria gani wanasababisha huko kuumwa kwenye koo, bacteria wanaweza kua streptococcus pyogenes, strept pneumonia au hata heamophilus influenza...wakisha gundua ni bacteria gani watafanya drug sensitivity ili wajue ni dawa gani inaweza kuwatibu, kwasababu dawa nyingi za hawa bacteria wamedevelop resistance, baada ya hapo sasa watakupa dawa sahii...kila la kheri
 
asante sana kaka, ushauri wako naufanyia kazi.
 
Ushauri wa hapo juu mzuri lakini tuje kuhusu hali ya mgonjwa na pocbl complications when awaiting for culture results as we cannot be sure how long b4 the results are out. Hasa health units zetu wabongo.

Tujue kuwa vidonda kooni vinapoteza raha ya kula (poor diet intake low immunity), vinaongeza risk ya superinfections na hata predispose to cancerous changes and perforation as well as involvement of vocal cords and laryngeal nerve.

Ushauri wangu: wakishachukua sample ungeweza kupata Amoxicillin clavunate (unameza) au ceftriaxone (sindano), ndipo usubiri results.
 
Pole Mkuu.Rudi Hospitali Na Uende Kitengo Cha Masikio Pua Na Koo(E.N.T)
 
Habarini madokta?
Mimi jamani ni wiki sasa tangu nianze kupata matatizo katka koo, lilianza kuwa kavu, mara kuwashawasha na kuchomachoma mwisowe madonda mpaka leo.... Kilichofuata ni mafua na homa kichwa kuuma pia.
Nimeenda hospitali nmecheki maleria na minyoo ila sina minyoo na maleria ninayo tatu tu. Nimepewa dawa za maleria na amoxlini, ila koo baado linaninyma raha.
Kwa mwenye dawa ya haraka ya tatizo hili please.
Dawa ya Maradhi ya Koo Tiba Mbadala Fanya hivi:

Uchukue vitunguu maji kumi au vinane, Uviponde halafu achanganye na maji kiasi kikombe cha

chai kimoja ukoroge viziru Uvichuje

halafu Unywe vijiko vitatu kila siku asubuhi, mchana na jioni vijiko vitatu kwa muda wa siku 3 au siku 7 utapona inshallah. Ukipona usikose kuleta Feedback.
 
Back
Top Bottom