malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Pole sana, msaada mzuri zaidi ni kumkimbilia BWANA, Yeye ni daktari mkuu.
Tumia juisi ya cabbage.Habar wakuu nimekua nikisumbuliwa na vidonda vya tumbo mda Sasa tangu 2019 nilipima mpaka endoscopy nkaonekana na vitatu vidonda na acid,,nimetumia dawa za hospital kila aina Bado msaada wenu wa tiba kwa waliopona kupata changamoto ya Madonda ya tumbo sugu
Huyu sio kipimo cha Mungu kushindwa, na haimaanishi ni vibaya kutibiwa hospital, hoja hapa tiba imeshindikana hospital, afanye nini sasa? Mungu hajashindwa anaweza kumponya.Pope to be admitted to hospital for bronchitis
Pope Francis to be admitted to Rome hospital for bronchitis, Vatican says
The Pope has had bronchitis symptoms for several days leading to other officials reading his speeches.www.bbc.com
Pope Francis is discharged from the hospital after treatment for respiratory infection
March 23, 2025
Uko wapi na unauzajeNinazo za mimea.Kama unaweza kutumia niambie,maana wengine huwa hawataki mitishamba.Lakini itakuponya moja kwa moja.
0674348222
Vidonda vyako vinauma ukiwa na njaa au ukila, maana yk viko aina 2, deodonal na pelvic ulcer, mm pia ni mhanga naweza kukusaidiaHabar wakuu nimekua nikisumbuliwa na vidonda vya tumbo mda Sasa tangu 2019 nilipima mpaka endoscopy nkaonekana na vitatu vidonda na acid,,nimetumia dawa za hospital kila aina Bado msaada wenu wa tiba kwa waliopona kupata changamoto ya Madonda ya tumbo sugu
Nkila au nkiwa sijala vinaumaVidonda vyako vinauma ukiwa na njaa au ukila, maana yk viko aina 2, deodonal na pelvic ulcer, mm pia ni mhanga naweza kukusaidia
Chukua bamia mbichi visage kwa Brenda kiasi kama tano hivi uwe unakunywa hilo zege kabla hujala kitu kwa muda wa siki 7 mpaka 21 inategemea na ukubwa wa vidonda vyenyeweHabar wakuu nimekua nikisumbuliwa na vidonda vya tumbo mda Sasa tangu 2019 nilipima mpaka endoscopy nkaonekana na vitatu vidonda na acid,,nimetumia dawa za hospital kila aina Bado msaada wenu wa tiba kwa waliopona kupata changamoto ya Madonda ya tumbo sugu
Mkuu pole sanaHabar wakuu nimekua nikisumbuliwa na vidonda vya tumbo mda Sasa tangu 2019 nilipima mpaka endoscopy nkaonekana na vitatu vidonda na acid,,nimetumia dawa za hospital kila aina Bado msaada wenu wa tiba kwa waliopona kupata changamoto ya Madonda ya tumbo sugu