malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
- Thread starter
- #21
Bila kuchemsha bamia,sasumu vip kwenye bamia mbichiChukua bamia mbichi visage kwa Brenda kiasi kama tano hivi uwe unakunywa hilo zege kabla hujala kitu kwa muda wa siki 7 mpaka 21 inategemea na ukubwa wa vidonda vyenyewe