Msaada: Maelezo kuhusu HIV na 72 hours after infections.

Msaada: Maelezo kuhusu HIV na 72 hours after infections.

Tulikuwa Kazini.....Rafiki angu wakati ana mcanulate mgonjwa akajichoma na sindano alioi tumia tayari kwa mgonjwa ambaye ni HIV POSITIVE.....ALIMEZA DAWA NA ALIPO MALIZA DOSE ALIPIMA NA HAKUWA NA UKIMWI HADI SASA
 
Kuna PrEP pia mkuu. kwa wale wanaokuwa wanafanya mapenzi mazingira hatarishi mara kwa mara.
 
Nashkuru kwa taarifa mkuu. Je haiwezekani kuzitumia hizo hizo PEP kuwatibu waathirika wengine?
Walioathirika yatari PEP Kits haziwezi kuwasaidia coz tayari wadudu wameshasambaa mwilini. PEP kits zinafanya kazi kuzuia wadudu wasisambae na ndio maana mtu anatakiwa kuanza dose yake haraka sana mara tu anapohisi amejiexpose kwenye kwenye maambuziki ya vijidudu vya ukimwi kwa namna moja ama nyingine. Na kama nilivyosema, hizi Kits pia siyo 100% kwamba zinatuia maambukizi, mtu anaweza kutumia na bado akapata maambukizi.
 
Ni kweli...pale mtu anapohisi anamaambukizi Kwa bahati mbaya,kubakwa au ajali iliyohusisha damu damu anaweza kuwahi na kupewa ARV za kawaida na si vidonge vinginevyo,lengo ni kumkinga huyu mtu ili virusi visizidi kufikia kiwango cha no return!kinga hii huitwa post exposure prophylaxis(pep)
 
Hiyo inaitwa PEP (post exposure prophylaxis) kama wadau walivyotangulia kusema,
Naomba kuisapoti hii threed kwa regime ya kutoa hizo dawa , wanaoelewa Hizi dawa watanielewa vzr ila msiojua mnapopata madhara labda ya kubakwa au ukatili wa kijinsia mnashauriwa kiwahi katika vituo vya Afya ndani ya masaa72.
Fungueni hiyo link!!

bde60007ed035cb0d2bffc16592c53e3.jpg
 
Back
Top Bottom