Mnama
JF-Expert Member
- Oct 13, 2010
- 2,963
- 2,694
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pitieni uzi huu ili kupata picha hali juu ya ukweli na uwongo wa ukimwi. Anayetaka kusoma, basi aanze tokea ukurasa wa kwanza, tena awe makini aweke mbali ushabiki na kasumba.
Nenda kasome post za decreption
Deception
Walioathirika yatari PEP Kits haziwezi kuwasaidia coz tayari wadudu wameshasambaa mwilini. PEP kits zinafanya kazi kuzuia wadudu wasisambae na ndio maana mtu anatakiwa kuanza dose yake haraka sana mara tu anapohisi amejiexpose kwenye kwenye maambuziki ya vijidudu vya ukimwi kwa namna moja ama nyingine. Na kama nilivyosema, hizi Kits pia siyo 100% kwamba zinatuia maambukizi, mtu anaweza kutumia na bado akapata maambukizi.Nashkuru kwa taarifa mkuu. Je haiwezekani kuzitumia hizo hizo PEP kuwatibu waathirika wengine?
Ndio ni mm
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hueleweki... Mara decreption, mara Deception.