Msaada: Mafao yameingia kwenye account ya mahakama ya wilaya Temeke, tumezungushwa mpaka tumechoka

Nimekuelewa vizuri sana nitafanya ivyo.
 

Exactly 100%

Unaonekana ushawahi kudeal na issue
Exactly 100%

Unaonekana hujasimuliwa ulideal personally. Hizo ni moja ya changamoto ambazo bado tunazipambania.

Ni watumishi tu wasio waaminifu hasa kwa wale watumishi wazee wale wa wazamani wanaomaliziamalzia utumishi wao.
 

 
Ndio maana wakati mwingine kina Haammzzaa huibuka. Maana hii sasa ni kero iliyopitiliza.
 
Kwa ninavyofahamu fedha zikishaingia kwenye account ya mahakama,msimamizi wa mirathi atapewa fomu ya kugawa hizo fedha kwa kila mrithi ,na kila mrithi atasaini kwenye hio fomu,baada ya hapo kila mrithi atapewa vendor form kwa aijili ya kujazwa na bank ambayo muhusika anapendelea fedha zake ziwekwe huko,alafu zitarudishwa mahakamani kwa ajili ya kuprocess malipo,je haya yalikwishafanyika kwenu?

Kama tayari ,ni suala la ufatiliaji tu na hapa inabaki kua ni kazi ya muhasibu ili muweze kulipwa ,hivyo msimamizi wa mirathi anawajibu wa kufatilia kwa huyo muhasibu ajue kua amefikia hatua gani ,nadhani hua wanapeleka mahakama kuu kwa ajili ya kuprocess malipo
 
Nenda PSSSF au kama NSSF ndo ilihusika kutoa hiyo Pension peleka malalamiko ikishindikana nenda kwenye Wizara inayohusika ueleze changamoto hiyo. Mbona hata TAKUKURU anaweza kwenda pia tena wanasaidia sana kwenye kuokoa hela za Pension.
 
Wachukulie hatua, toa taarifa PCB wawekewe mtego watanasa fasta.
 
Tupe details za wahusika uzi huu tunaweza kupenyeza kwenye mamlaka, hata Jaji Mkuu ataisoma na kutoa maagizo. Bila kuchukuwa hatua itafika sehemu watapigwa kipigo walichopewa police juzi na Hamza
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Binafsi ninamashaka na msimamizi wa mirdathi anaanzaje kukata Tamaa yani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Fika kwa Mkuu wa Wilaya yako atakusaidia
 
Kazi unefanya wewe lakin kuna hio mijitu bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…