Msaada: Mafao yameingia kwenye account ya mahakama ya wilaya Temeke, tumezungushwa mpaka tumechoka

Hamzaaaa njoo kuna wengine huku
 
Tafuta wakili MSOMI,atakusaidieni
 
Kumbe Hakimu mfawidhi ni mkwara tuu!πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Sio mmoja na ua haendi peke yake majibu ni namna iyoo sio utani.
Binafsi ninamashaka na msimamizi wa mirdathi anaanzaje kukata Tamaa yani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Samahani faili likishafika mahakama kuu inachukua muda gani pesa kuingizwa kwenye account za warithi? Nina watoto wa ndugu yangu washamaliza process wameambiwa faili lishapelekwa mahakama kuu, inakaribia mwezi pesa hazijaingizwa kwenye account zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…