Maumivu yakizidi muone daktari(fundi umeme/TANESCO)Habari wana JF.
Leo toka asubuhi home sina umeme. Kwenye mida ya saa tano asubuhi Uemme wa Tanesco ulikuwa unakatika na kurudi baadae main switch ikajizima. Sasa kila nikiiwasha bado inajirudi kuzima. Naulizia waataalam wa umeme shida ni nini. Na nifanye nini ili iweze kurudi kawaida?
Piga huduma ya dharula,TANESCO!Habari wana JF.
Leo toka asubuhi home sina umeme. Kwenye mida ya saa tano asubuhi Uemme wa Tanesco ulikuwa unakatika na kurudi baadae main switch ikajizima. Sasa kila nikiiwasha bado inajirudi kuzima. Naulizia waataalam wa umeme shida ni nini. Na nifanye nini ili iweze kurudi kawaida?
Maumivu yakizidi muone daktari(fundi umeme/TANESCO)
Huwezi amini mkuu humu ndani sina kifaa cha umeme zaidi ya chaji ya simu na taa.Fanya troubleshoot, zima vitu vyote then washa main switch..ikikubali then anza kuwasha kitu kimoja kimoja utagundua kifaa chenye shida!
Huko kujizima maana yake kuna kifaa kina tatizo!
Ndio vifaa hivyo Sasa fata ushauri Zima kifaa Kisha fanya walivyoshauri watalaamHuwezi amini mkuu humu ndani sina kifaa cha umeme zaidi ya chaji ya simu na taa.
Kitanzania usikute ndio inaitwa main switchsidhani kama main switch inaweza kujizima..mm najua ni Circuit breaker ndo kuwa inazima umeme ikihisi short
kuna shot mahali.Zima vifaa na ditch zote halaf ipandisheHabari wana JF.