Msaada: Main Switch inajizima yenyewe

Msaada: Main Switch inajizima yenyewe

mike2k

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
1,571
Reaction score
3,448
Habari wana JF.

Leo toka asubuhi home sina umeme. Kwenye mida ya saa tano asubuhi Uemme wa Tanesco ulikuwa unakatika na kurudi baadae main switch ikajizima. Sasa kila nikiiwasha bado inajirudi kuzima. Naulizia waataalam wa umeme shida ni nini. Na nifanye nini ili iweze kurudi kawaida?
 
Fanya troubleshoot, zima vitu vyote then washa main switch..ikikubali then anza kuwasha kitu kimoja kimoja utagundua kifaa chenye shida!
Huko kujizima maana yake kuna kifaa kina tatizo!
 
Maumivu yakizidi muone daktari(fundi umeme/TANESCO)
 
Habari wana JF.
Leo toka asubuhi home sina umeme. Kwenye mida ya saa tano asubuhi Uemme wa Tanesco ulikuwa unakatika na kurudi baadae main switch ikajizima. Sasa kila nikiiwasha bado inajirudi kuzima. Naulizia waataalam wa umeme shida ni nini. Na nifanye nini ili iweze kurudi kawaida?
Piga huduma ya dharula,TANESCO!
 
Fanya troubleshoot, zima vitu vyote then washa main switch..ikikubali then anza kuwasha kitu kimoja kimoja utagundua kifaa chenye shida!
Huko kujizima maana yake kuna kifaa kina tatizo!
Huwezi amini mkuu humu ndani sina kifaa cha umeme zaidi ya chaji ya simu na taa.
 
TANESCO wanaishia kwenye lile bomba la kupokelea nyaya kutoka kwenye nguzo yao.

Humo ndani tafuta fundi certified nao
 
sidhani kama main switch inaweza kujizima..mm najua ni Circuit breaker ndo kuwa inazima umeme ikihisi short
 
Habari wana JF.

Leo toka asubuhi home sina umeme. Kwenye mida ya saa tano asubuhi Uemme wa Tanesco ulikuwa unakatika na kurudi baadae main switch ikajizima. Sasa kila nikiiwasha bado inajirudi kuzima. Naulizia waataalam wa umeme shida ni nini. Na nifanye nini ili iweze kurudi kawaida?
kuna shot mahali.Zima vifaa na ditch zote halaf ipandishe
 
Back
Top Bottom