Msaada: Maji ukeni baada ya tendo

Msaada: Maji ukeni baada ya tendo

Hahah. Iyo ni Gono.
Na uo unaotoka ni usaaa
Mara nyingi nimesikia wakiwa na magonjwa ya zinaa kwa wanawake huwa sio rahisi kuonekana mapema hivyo. Wengi hata hujikuta wameambukiza wanaume ndio wakajua kama kama wana tatizo. Kwa mwanaume huonekana mapema sana, within 24hrs na hii ilishawahi kunikuta.
So inaweza kuwa sio gono bali ugonjwa mwingine, awahi hospitali tu. Kama gono basi anayo muda mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukapime na ukimwi Na why mnakuja huku wakati matibabu yako Hospitali
 
Back
Top Bottom