Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingi nimesikia wakiwa na magonjwa ya zinaa kwa wanawake huwa sio rahisi kuonekana mapema hivyo. Wengi hata hujikuta wameambukiza wanaume ndio wakajua kama kama wana tatizo. Kwa mwanaume huonekana mapema sana, within 24hrs na hii ilishawahi kunikuta.Hahah. Iyo ni Gono.
Na uo unaotoka ni usaaa
Leo zamu yakoUjabanwa Leo Nini?
Kwann ulie na mm nipoYah Ni kweli Ndomana Nalia Kila Siku Kwenye Mahusiano
Hahahahaaaa umenifurahisha ulivyo sema hivyo
Kwan unaogopaEbu Toka Uku, Mbona Ivyo....Unawapa Watu Wasiwasi
Haya nakupendaNiogope Nini Utu Uzima Huu! Omo
Wote hao tayarMama Ushampenda? Baba Je? Ndgu Je?