Ukitaka yaishe njoo pmUnajua Apa Naimalizia Rebel Na Wewe Una Leta Huu Ukorofi Wako! DAH!!
Unataka jibu auUnasubiri Nini?
Haya ngoja tufukue makaburi hapaNishakuambia Siji
Nakupenda wwSi Ndo Maana Ya Swali
NitakusaidiaHahahahahahahahaha! Naenda Kukuripoti
Haya na ww Ubarikiwe unipende ivyo ivyoAksante Na Ubarikiwe unipende ivyo ivyo
Kutokwa na maji mepesi ya njano ni dalili ya wewe kutopatwa na mimba ukifanya mchezo hutoweza kushika mimba ukihitaji tiba nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia.Habari wanajamvi, Hope mpo poa
Nina shida ambayo inanifanya nisipate usingizi, Nina kama Siku tatu ivi ili tatizo linanipa wakati mgumu, na sijajua Kama ni kawaida au ni tatizo kama ninavyohisi,
Sababu natokwa na maji mepesi ya rangi ya njano, si mengi sana ila si ya kawaida sababu aijawahi kunitokeaga ivi kabla,
Yananipa wakati mgumu mpaka kuwaza siyo,
Navyojua kabla ya hedh nikiwa naerekea huwaga yanatoka lakin si kwa kiwango ichi.
Msaada wenu wanajamvi..
Huo sio ugonjwa Bali unakuwa umekojozwa