Msaada: Maji ukeni baada ya tendo

Msaada: Maji ukeni baada ya tendo

Wahi hospital inawezekana una magonjwa ya zinaa(PID)
 
Vaginal discharge kama inaambatana na maumivu ya tumbo, Ile pia ikiwa ni yellow discharge kuna uwezekano ikiwa kisonono au magonjwa mengine yanayoendana na hayo. Kwa tanzania tunatumia syndromic approach kutibu. Nenda hospital daktari atakusaidia baada ya kuangalia kuonge wewe akijiridhisha ni discharge inayoendana na magonjwa ya zinaa,tiba yake utapewa ceftrixone/ciproflaxacin sindano then utapewa doxy utatumia siku 7/azithromycin ambayo ni ya siku moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wanajamvi, Hope mpo poa

Nina shida ambayo inanifanya nisipate usingizi, Nina kama Siku tatu ivi ili tatizo linanipa wakati mgumu, na sijajua Kama ni kawaida au ni tatizo kama ninavyohisi,
Sababu natokwa na maji mepesi ya rangi ya njano, si mengi sana ila si ya kawaida sababu aijawahi kunitokeaga ivi kabla,
Yananipa wakati mgumu mpaka kuwaza siyo,
Navyojua kabla ya hedh nikiwa naerekea huwaga yanatoka lakin si kwa kiwango ichi.
Msaada wenu wanajamvi..
Kutokwa na maji mepesi ya njano ni dalili ya wewe kutopatwa na mimba ukifanya mchezo hutoweza kushika mimba ukihitaji tiba nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Kweli kuna maradhi kuna kipindi nilienda ofisi fulani tena kubwa yule receptionist mzigo wa hatari alikua anaongea kutumia simu ya kiganjani anasema eti anawashwa sana sehemu ya uke akienda haja na kisha kutumia maji. Mashalaah ulikua mzigo kweli kweli nikaanza waza wazee wa mgodini dah. Marko haya maradhi ni hatari sana
 
Back
Top Bottom