Vumbi la congo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 666
- 981
Wakuu habari zenu, nimepata katoto kwa uwezo wa Mungu ila namuona anapiga chafya sana.
Nimeambiwa kuwa ndivyo inavyotakiwa apige chafya ila nahofia mwanangu aaije akapata mafua itamsumbua kunyonya, umri wake bado mdogo hata wiki hana, sasa kuna mtu alisema ili kumkinga mtoto dhidi ya mafua mpake maji ya vitunguu saumu kwenye nyayo zake.
Je wakuu hii ni salama kwa mwanangu? Maji haya hayawezi athiri ngozi ya katoto kangu?