Vumbi la congo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 666
- 981
Naona vumbi la Congo limejibu.wakuu habari zenu,,,nimepata katoto kwa uwezo wa mungu,,ila namuona anapiga chafya sana..nimeambiwa kuwa ndivyo inavyotakiwa apige chafya ila nahofia mwanangu aaije akapata mafua itamsumbua kunyonya..umri wake bado mdogo hata wiki hana..sasa kuna mtu alisema ili kumkinga mtoto dhid ya mafua mpake maji ya vitunguu saumu kwenye nyayo zake...je wakuu hii ni salama kwa mwanangu? Maji haya hayawwzi athir ngozi ya katoto kangu?
Hakuna kitu kama hiyowakuu habari zenu,,,nimepata katoto kwa uwezo wa mungu,,ila namuona anapiga chafya sana..nimeambiwa kuwa ndivyo inavyotakiwa apige chafya ila nahofia mwanangu aaije akapata mafua itamsumbua kunyonya..umri wake bado mdogo hata wiki hana..sasa kuna mtu alisema ili kumkinga mtoto dhid ya mafua mpake maji ya vitunguu saumu kwenye nyayo zake...je wakuu hii ni salama kwa mwanangu? Maji haya hayawwzi athir ngozi ya katoto kangu?
KabisaHay ana shida kabisa
Yan we jamaa fanya maasiara na afya ya mtoto wako alaf baadae uje ujute. Sehem sahihi ya kupata majib ni hospital au dispensary au kwa wamama wazoef na katu sio mtandaoni.wakuu habari zenu,,,nimepata katoto kwa uwezo wa mungu,,ila namuona anapiga chafya sana..nimeambiwa kuwa ndivyo inavyotakiwa apige chafya ila nahofia mwanangu aaije akapata mafua itamsumbua kunyonya..umri wake bado mdogo hata wiki hana..sasa kuna mtu alisema ili kumkinga mtoto dhid ya mafua mpake maji ya vitunguu saumu kwenye nyayo zake...je wakuu hii ni salama kwa mwanangu? Maji haya hayawwzi athir ngozi ya katoto kangu?
Nashukuru kwa kunikumbusha ndugu ila hata humu pia inawezekana wapo wazazi wazoefu ndugu yanguYan we jamaa fanya maasiara na afya ya mtoto wako alaf baadae uje ujute. Sehem sahihi ya kupata majib ni hospital au dispensary au kwa wamama wazoef na katu sio mtandaoni.
Mtandao njoo uombe ushauri wa mambo mengine
Aya sawa. Ngoja ushauriwe.Nashukuru kwa kunikumbusha ndugu ila hata humu pia inawezekana wapo wazazi wazoefu ndugu yangu
Ndugu meddiy hapa umepotoka kidogoYan we jamaa fanya maasiara na afya ya mtoto wako alaf baadae uje ujute. Sehem sahihi ya kupata majib ni hospital au dispensary au kwa wamama wazoef na katu sio mtandaoni.
Mtandao njoo uombe ushauri wa mambo mengine