FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,050
- 2,651
Habarini wakuu,
Naombeni msaada wa makadirio ya tofali na material za ujenzi kwa ramani.
Naombeni msaada wa makadirio ya tofali na material za ujenzi kwa ramani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka nikwambie wazi hii nyumba ni kubwa. Kama haujajipanga kisawa sawa basi ujipange.Habarini wakuu
Naombeni msaada wa makadirio ya tofali na material za ujenzi kwa ramani
View attachment 2100999
Du si mchezo kiongozi ni hatari ee!!.Ngoja nipandishe roofing plan tuone.Nataka nikwambie wazi hii nyumba ni kubwa. Kama haujajipanga kisawa sawa basi ujipange.
Hapo andaa tofali 3,600, nondo za 12mm (makonde) tani moja na nusu, binding wire 10kgs, nondo za 6mm 20, Kokoto lori kubwa za 18m³ mbili, mchanga lori 3 za 18m³ na cement mifuko 300, hapo utakamilisha yote bila plasta na paa.
16 by 14 m ni nyumba kubwa sana.Gharama za ujenzi mpaka ikamilike ni kati ya Mili 48 hadi 90 kwa kutegemea location,fundi,materials na ubora wa kazi unaohitaji.Habarini wakuu
Naombeni msaada wa makadirio ya tofali na material za ujenzi kwa ramani
View attachment 2100999
Shukran kiongozi.Natarajia kuweka blockunatumia za kuchoma au block?
by the way weka madrsha makubwakubwa kusave tofali.
poa we weka madrsha makubwa uzuri. madrsha ya vyuma sio bei. bei ni viooShukran kiongozi.Natarajia kuweka block
poa we weka madrsha makubwa uzuri. madrsha ya vyuma sio bei. bei ni vioo
unatumia bati mmarekani au mbongoShukran kiongozi.Vipi kwenye idadi ya bato tofali unaweza nipa mtazamo wako
Natarajia Mungu akijalia nitumie za ALAF G28unatumia bati mmarekani au mbongo
FUTURE HUNTER huyu jamaa hajasema uongo. Ila itafika 150mil na fence pavements n.kukiwa na sh 114,000,000 umemaliza hilo hekalu.
Kama ni mtumishi usiye na ukikwenga, basi miaka yako isiyopungua 20 utakuwa umemaliza😁😄
Aisee hapa si kitoto.Inabidi niende kwa phase.Mkwanja saiz hyo si kitotoFUTURE HUNTER huyu jamaa hajasema uongo. Ila itafika 150mil na fence pavements n.k
usipende ubabe mkuu kwa mtindo huo nyumba utaifaidi ukiwa udongoniNatarajia Mungu akijalia nitumie za ALAF G28
Asante kwa mchanganuo kiongozi.Kidogo umenipa matumaini.Sehemu nilipo material ni wastani hvyo naweza range kwenye hyo 9016 by 14 m ni nyumba kubwa sana.Gharama za ujenzi mpaka ikamilike ni kati ya Mili 48 hadi 90 kwa kutegemea location,fundi,materials na ubora wa kazi unaohitaji.
Nataka nikwambie wazi hii nyumba ni kubwa. Kama haujajipanga kisawa sawa basi ujipange.
Hapo andaa tofali 3,600, nondo za 12mm (makonde) tani moja na nusu, binding wire 10kgs, nondo za 6mm 20, Kokoto lori kubwa za 18m³ mbili, mchanga lori 3 za 18m³ na cement mifuko 300, hapo utakamilisha yote bila plasta na paa.
Asante Sana kwa ushauri kiongozi.Naendelea kuchukua hatua Ili ni execute hii plan.Acha kumtisha hii ni nyumba ya wastan ila sio kubwa kihivyo kama unavyosema ,ingekua kubwa labda kama ingekua na sqm 300 na kuendelea,enewei hapo andaa 16m ,kukamilisha msingi hadi boma kukamilika,ukiona hauezi unaweza kuongea na fundi apunguze ukubwa kidogo wakati wa kuset msingi,ila ikikamilika hivi ilivyo utaenjoy zaidi nyumba itakua na space ya kutosha,sio vile vyumba ambavyo hata kabati ni ngumu kukaa.