RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
As if madirisha makubwa ya aluminium/uPVC ni cheaper!unatumia za kuchoma au block?
by the way weka madrsha makubwakubwa kusave tofali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
As if madirisha makubwa ya aluminium/uPVC ni cheaper!unatumia za kuchoma au block?
by the way weka madrsha makubwakubwa kusave tofali.
As if madirisha makubwa ya aluminium/uPVC ni cheaper!
Ukubwa wa madirisha ndo yataongeza gharama na sio kupunguzaunatumia za kuchoma au block?
by the way weka madrsha makubwakubwa kusave tofali.
Mkuu hongera kwa hatua.Habarini wakuu,
Naombeni msaada wa makadirio ya tofali na material za ujenzi kwa ramani.
View attachment 2100999
ye si ana kwepa tofali 😁😁 au sijamwelewa. afu anataka aweke ALAF. juu bila kuwa na fensi hainogi.As if madirisha makubwa ya aluminium/uPVC ni cheaper!
mkuu kulingana na uwoga wake wa idadi ya matofali ndio nikampa hilo wazo lakini tuujenzi ukikwepa tofali utakutana na kupauwa. na ukikwepa kupauwa utakutana na finishing, hapa watu wana mvimbisha kichwa kuwa ajenge hekalu ila mziki wake tuliopitia tunaujua,Ukubwa wa madirisha ndo yataongeza gharama na sio kupunguza
Akiongeza ukubwa madirisha atalipia hela nyingi zaidi kuliko hayo matofali aliyokwepa.ye si ana kwepa tofali 😁😁 au sijamwelewa. afu anataka aweke ALAF. juu bila kuwa na fensi hainogi.
mkuu kulingana na uwoga wake wa idadi ya matofali ndio nikampa hilo wazo lakini tuujenzi ukikwepa tofali utakutana na kupauwa. na ukikwepa kupauwa utakutana na finishing, hapa watu wana mvimbisha kichwa kuwa ajenge hekalu ila mziki wake tuliopitia tunaujua,
kifupi ujenzi ni gharama waweza kuwa na ml50 na fundi akakwambia hiyo itatosha kumalizia ujenzi tena kwa bati za ALAF. fundi akishapauwa anakwambia pesa ishaisha na hapo huna akiba nyumba haija fanyiwa finishing ya plasta, madirisha,milango, floor hapo hujajenga tanki la mavi. kinachobaki nyumba inakuwa makazi ya mijusi na popo wa kila aina.
Kwa wale wa pesa za mikopo hakuna unafuu hapo.Bora finishing unauwezo wa kuifanya taratibu ,ila sio kupaua ni habari nyingine.
Mimi hapo nipo dilema kuchagua kati ya ANDO na ALAF,nimefanya uchunguzi bei zao hazitofautiani sana sema Alaf mkoa ninaokaa inabidi kuwatumia mawakala ambao siwaamini
Bora finishing unauwezo wa kuifanya taratibu ,ila sio kupaua ni habari nyingine.
Mimi hapo nipo dilema kuchagua kati ya ANDO na ALAF,nimefanya uchunguzi bei zao hazitofautiani sana sema Alaf mkoa ninaokaa inabidi kuwatumia mawakala ambao siwaamini
BATI ZA WEZA INGIA 100 AMBAZO NI KUANZIA 5,000,000Natarajia Mungu akijalia nitumie za ALAF G28
Asante Sana kwa ushauri kiongozi.Nilikadiria tofali 3000 HIV na msingi nitatumiwa mawe.kwangu mimi hii nyumbani ni kubwa sanaa
1. ina kuta na kona nyingi so tegemea tofali nyingi kwenda hapo kati ya 3000-4000
2. mziki wa hiyo nyumba upo kwenye upauaji hapo kama hujajipanga kiukweli itakugharimu sana andaa sio chini ya 10-12 mill. na inaweza kuzidi.
kwa uzoefu mdogo mpaka kukamilika hii nyumba andaa 60-70 mill.
gharama pia haziewezinkuwa sawa kulingana na materials na maeneo uliopo... zinaweza kuzidi au kupungua......
ushauri....
kama ni ramani yako pendwa na unajiweza kiuchumi fata moyo wako ila kama upo kwenye kutathimini badili mawazo kama tu ni mtumishi/m.biashara wa kawaida na unafamilia.
Asante kiongozi kwa MuongozoBATI ZA WEZA INGIA 100 AMBAZO NI KUANZIA 5,000,000
Asante kwa hamasa na ushauri mkuu.Tutawasiliana bila shakaMkuu hongera kwa hatua.
Naomba nijulishe kuwa inawezekana usiogope kuanza.
Wasiliana Uvimo Civil Group wakufanyie tathimini halisi ya kazi yako.
Wapigie
0629361896
0753927572 -WhatsApp.
Yapo mambo watahitaji kuyajua ili kuendelea na kazi yako itakuwa smart.
Hapana itapigwa bati kwa uezekaji wa kawaidaIyo Nyumba ni contemporary roofing ?
Nashukuru kiongozi.Kuna mtaalam tayar kashaanza hilo zoeziSio nyumba kubwaaa kivile usitishike Una hela mkuu nikufanyie makadirio ya ujenzi kuanzia fundi hadi msumari???
🙏🙏🙏🙏Nashukuru kiongozi.Kuna mtaalam tayar kashaanza hilo zoezi
Atasave tofali ila atakuja kukutana na kimbembe cha vioo ..poa we weka madrsha makubwa uzuri. madrsha ya vyuma sio bei. bei ni vioo
Mawazo mazuri.. Lkn inategemea na plan yakekwangu mimi hii nyumbani ni kubwa sanaa
1. ina kuta na kona nyingi so tegemea tofali nyingi kwenda hapo kati ya 3000-4000
2. mziki wa hiyo nyumba upo kwenye upauaji hapo kama hujajipanga kiukweli itakugharimu sana andaa sio chini ya 10-12 mill. na inaweza kuzidi.
kwa uzoefu mdogo mpaka kukamilika hii nyumba andaa 60-70 mill.
gharama pia haziewezinkuwa sawa kulingana na materials na maeneo uliopo... zinaweza kuzidi au kupungua......
ushauri....
kama ni ramani yako pendwa na unajiweza kiuchumi fata moyo wako ila kama upo kwenye kutathimini badili mawazo kama tu ni mtumishi/m.biashara wa kawaida na unafamilia.
Asante Sana Kiongozi.Yaani umeongea right on point.Sina haraka nayo Sana so I will take my time kwa phases.Kikubwa mwisho nipate kilicho Bora na Tamanio la Moyo.Napenda Sana nyumba iliyo na eneo la kutosha.Mawazo mazuri.. Lkn inategemea na plan yake
1. Pengine bado ni <32years na hana makimbizano na kumaliza
2. Pengine ana plan ya kujenga hatua kwa hatua aje akamilishe in 5 years
3. Etc.
Ramani nzuri sana.