Msaada makadirio kwa ramani hii

Msaada makadirio kwa ramani hii

Habarini wakuu,

Naombeni msaada wa makadirio ya tofali na material za ujenzi kwa ramani.

View attachment 2100999
Mkuu hongera kwa hatua.
Naomba nijulishe kuwa inawezekana usiogope kuanza.

Wasiliana Uvimo Civil Group wakufanyie tathimini halisi ya kazi yako.
Wapigie
0629361896
0753927572 -WhatsApp.

Yapo mambo watahitaji kuyajua ili kuendelea na kazi yako itakuwa smart.
 
Ukubwa wa madirisha ndo yataongeza gharama na sio kupunguza
mkuu kulingana na uwoga wake wa idadi ya matofali ndio nikampa hilo wazo lakini tuujenzi ukikwepa tofali utakutana na kupauwa. na ukikwepa kupauwa utakutana na finishing, hapa watu wana mvimbisha kichwa kuwa ajenge hekalu ila mziki wake tuliopitia tunaujua,

kifupi ujenzi ni gharama waweza kuwa na ml50 na fundi akakwambia hiyo itatosha kumalizia ujenzi tena kwa bati za ALAF. fundi akishapauwa anakwambia pesa ishaisha na hapo huna akiba nyumba haija fanyiwa finishing ya plasta, madirisha,milango, floor hapo hujajenga tanki la mavi. kinachobaki nyumba inakuwa makazi ya mijusi na popo wa kila aina.
 
Bora finishing unauwezo wa kuifanya taratibu ,ila sio kupaua ni habari nyingine.

Mimi hapo nipo dilema kuchagua kati ya ANDO na ALAF,nimefanya uchunguzi bei zao hazitofautiani sana sema Alaf mkoa ninaokaa inabidi kuwatumia mawakala ambao siwaamini
 
Kwa wale wa pesa za mikopo hakuna unafuu hapo.

N:B ALAF yuko poa sana basi tu.
 
Bora finishing unauwezo wa kuifanya taratibu ,ila sio kupaua ni habari nyingine.

Mimi hapo nipo dilema kuchagua kati ya ANDO na ALAF,nimefanya uchunguzi bei zao hazitofautiani sana sema Alaf mkoa ninaokaa inabidi kuwatumia mawakala ambao siwaamini

Piga simu kiwandani wakutajie mawakala wao waliopo mkoani kwako! Then bati za alaf zina muhuri wa moto na stamp sio rahis sana kutozijua! Though chochote kinaweza tokea.
 
kwangu mimi hii nyumbani ni kubwa sanaa
1. ina kuta na kona nyingi so tegemea tofali nyingi kwenda hapo kati ya 3000-4000
2. mziki wa hiyo nyumba upo kwenye upauaji hapo kama hujajipanga kiukweli itakugharimu sana andaa sio chini ya 10-12 mill. na inaweza kuzidi.

kwa uzoefu mdogo mpaka kukamilika hii nyumba andaa 60-70 mill.

gharama pia haziewezinkuwa sawa kulingana na materials na maeneo uliopo... zinaweza kuzidi au kupungua......

ushauri....
kama ni ramani yako pendwa na unajiweza kiuchumi fata moyo wako ila kama upo kwenye kutathimini badili mawazo kama tu ni mtumishi/m.biashara wa kawaida na unafamilia.
Asante Sana kwa ushauri kiongozi.Nilikadiria tofali 3000 HIV na msingi nitatumiwa mawe.
Kuhusu kujenga nitaenda kwa phases.Kiukweli napenda nyumba yenye space ya Kutosha
BATI ZA WEZA INGIA 100 AMBAZO NI KUANZIA 5,000,000
Asante kiongozi kwa Muongozo
Mkuu hongera kwa hatua.
Naomba nijulishe kuwa inawezekana usiogope kuanza.

Wasiliana Uvimo Civil Group wakufanyie tathimini halisi ya kazi yako.
Wapigie
0629361896
0753927572 -WhatsApp.

Yapo mambo watahitaji kuyajua ili kuendelea na kazi yako itakuwa smart.
Asante kwa hamasa na ushauri mkuu.Tutawasiliana bila shaka
 
Sio nyumba kubwaaa kivile usitishike Una hela mkuu nikufanyie makadirio ya ujenzi kuanzia fundi hadi msumari???
 
kwangu mimi hii nyumbani ni kubwa sanaa
1. ina kuta na kona nyingi so tegemea tofali nyingi kwenda hapo kati ya 3000-4000
2. mziki wa hiyo nyumba upo kwenye upauaji hapo kama hujajipanga kiukweli itakugharimu sana andaa sio chini ya 10-12 mill. na inaweza kuzidi.

kwa uzoefu mdogo mpaka kukamilika hii nyumba andaa 60-70 mill.

gharama pia haziewezinkuwa sawa kulingana na materials na maeneo uliopo... zinaweza kuzidi au kupungua......

ushauri....
kama ni ramani yako pendwa na unajiweza kiuchumi fata moyo wako ila kama upo kwenye kutathimini badili mawazo kama tu ni mtumishi/m.biashara wa kawaida na unafamilia.
Mawazo mazuri.. Lkn inategemea na plan yake
1. Pengine bado ni <32years na hana makimbizano na kumaliza
2. Pengine ana plan ya kujenga hatua kwa hatua aje akamilishe in 5 years
3. Etc.

Ramani nzuri sana.
 
Asante Sana Kiongozi.Yaani umeongea right on point.Sina haraka nayo Sana so I will take my time kwa phases.Kikubwa mwisho nipate kilicho Bora na Tamanio la Moyo.Napenda Sana nyumba iliyo na eneo la kutosha.
 
Back
Top Bottom