Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Kwa ramani hiyo wakuu, inaweza gharimu tsh ngapi mpaka naingia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu ushauri tu. fanya mabadiliko au tafuta ramani nyingine. haipendezi sana mtu kutoka tu chumbani upo sebuleni au ukifungua mlango tu watu wa sebuleni wanaona mpaka chumbani kwako itakukosesha uhuru/faragha. chumba kimoja ktk hiyo ramani kinatokeza moja kwa moja sebuleni, pia hicho hicho chumba kina mlango wake pekee wa kuingia choo cha public sio sahihi lkn hicho choo nacho kina milango mawili ya kuingilia nayo siyo. Haipendezi pia mtu akitoka chooni anaona moja kwa moja jikoni watu wanavyofanya yao. Unaweza usione hiyo shida sasa lkn ukishajenga na kuhamia ndo utajua nachokisema. Nadhan nimeeleweka.View attachment 1833365
Kwa ramani hiyo wakuu, inaweza gharimu tsh ngapi mpaka naingia?