Msaada: Malipo ya kodi ya viwanja kwa simu

Shololomo

Senior Member
Joined
Jun 20, 2021
Posts
111
Reaction score
141
MSAADA: MALIPO YA KODI YA VIWANJA.

Nimejaribu mara nyingi kulipia kiwanja changu kupitia namba ya mtandaoni *152*00# bila mafanikio. Kama kuna mwenye kujua njia mbadala anisaidie au tumerudia njia yetu ya zamani kwenda dirishani ofisi za ardhi na kupewa control number.

Msaada tafadhali.
 
Kwani viwanja vinalipiwa kodi? Kisheria kiwanja kama hujakiendeleza si chako! Ni mali ya serikali na unaweza nyanganywa bila fidia! Wanaoonekana wanalipia viwanja ni wale wenye nyumba! Yaani unalipa ushuru wa kiwanja ambacho juu yake umejenga nyumba! Nyumba ni mali yako lakini kiwanja cha serikali. Waliowengi tunalipia kupitia mita za LUKU kila mwezi
 
👍
 
Viwanja vinalipiwa pamoja na hiyo property tax tunayolipia kupitia kwenye meter
 
Back
Top Bottom