Msaada mama mjamzito anaumwa.

Msaada mama mjamzito anaumwa.

Chuck j

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
2,366
Reaction score
828
Ni mke wangu,anaumwa kichwa,tumbo na hilo tumbo linanguruma na kujaa kama gesi vile,anasikia kizunguzungu,na macho haoni vzr. Mimba ina miezi tisa sasa kwa maana amekadiriwa kujifungua 10 to 28 januari, nini tatizo? Anafeel malaria but 16 decemba alipewa dawa ya malaria clinic,,,,,,
 
mimba ya ngapi ? na hizo tarehe huwa ni za makadirio tu na kama miezi tisa tayari huyo mtoto ameshakomaa anaweza zaliwa mda wowote so kuwa makini naye na uwe na uhakika wa usafiri kama atazidiwa NB mpeleke amwone doct phiscal atakupa ushauri zaidi
 
Kaka nakushuri muone daktari wanasiasa wa humu jf hawawezi kukusaidia kwasababu daktari tamfanyia uchunguzi wa kina na kungamua tatizo ni nini?mpe pole ngonjwa.
 
Ni mke wangu,anaumwa kichwa,tumbo na hilo tumbo linanguruma na kujaa kama gesi vile,anasikia kizunguzungu,na macho haoni vzr. Mimba ina miezi tisa sasa kwa maana amekadiriwa kujifungua 10 to 28 januari, nini tatizo? Anafeel malaria but 16 decemba alipewa dawa ya malaria clinic,,,,,,

arudi clinic tena mapema
 
kaka rudi na mama hospitali mapema daktari ndo atakupa ushauri wa kitaalamu zaidi. Lingine la muhimu jitahidi kumkinga mama na malaria tumieni chandarua na asipende kukaa nje ya chandarua mida ya jioni/usiku.
 
Back
Top Bottom