MSAADA: Mama mkwe amenifungulia kesi ya uharibifu wa Mali

Status
Not open for further replies.
You have a good point here kesi iko mahakama ileile au ingine, sifahamu sheria hivi mahakimu sip walezi wetu kwamba yule wa talaka uombe kuonana nae atakusaidie pia katika hili na hio kesi ya talaka iwe baseline
Kesi ya Talaka ilikuwa Temeke as for now Kuna Mahakama inayoshukulikia maswala ya Talaka na mirathi ni separate ni hizi mahakama nyingine
 
I know,maana walianza case ya Talaka ilivyofika kipengele Cha chumo la pomoja wakawithdral case na ndo baadae kifungua hii
ahaa km ni hvyo basi km ni hvyo we komaa tu nyumba ni ya kwenu na mmeo ht km umevunja mkwe hana uhalali kwa kukushaki maana si yake labda akaprove mahakaman kuwa mal loharibiwa ni yake, afu kafungue tena hilo shauri la talaka mkuu umalizie kazi wasije wakakutoa roho
 
Mmh maskini pole umedondokea pabaya. Unayempenda hakupendi ila bado kisheria una haki ukipata mwanasheria mzuri utaweza kujiweka imara
 
I wish ningeweza kufanya hivyo,but nawaza nitaanzia wapi saivi na kipindi Cha Corona nilipoteza kazi yangu mpaka Sasa sina kazi.I wish ningekuwa na kazi ningeweza kulipa Kodi na kumood mahitaji mengine madogo madogo
Kuna wakati wanawake mnapitia magumu, kawaone TAWLA au TAMWA.
 
Na mme yupo upande wa mama yake,wametafuta Hadi Mwanasheria Nia Yao kubwa ni Mimi wanifunge.
HAKUNA wa KUKUFUNGA hapo!
Ndoa ya kimila inatambulika na ni halali kisheria.
Shida yako ya kwanza ni uoga.
Mbona kuna taasisi na vituo vingi tu vinatoa msaada wa sheria kwa akina mama, watafute hao. Kama hujui uliza wenzio wakuelekeze.
Huyo mama hana mume?
 
Hakika akawaone TAWLA na TAMWA wako DSM
 
wazazi wanasemaje na uko umbali gani na kwenu hapo ulipo, je mama mkwe si mshirikina au ana nguvu gani ya kipesa au nini hasa,
Sidhani kama ni mshirikina ni mtu wa kanisani sana likini pia uwezo wake ni wakawaida tu tu kwasabu ni msataafu ila anayelipa legal feee ni mme wangu
 
Kesi ya Talaka ilikuwa Temeke as for now Kuna Mahakama inayoshukulikia maswala ya Talaka na mirathi ni separate ni hizi mahakama nyingine
Inahitajika huko iliko hio kesi uwe na rejea ya kesi ya talaka ilofutwa ili waone chokochoko, I guess it will be useful.
 
Mmh maskini pole umedondokea pabaya. Unayempenda hakupendi ila bado kisheria una haki ukipata mwanasheria mzuri utaweza kujiweka imara
So sad, he was the perfect man ever but suddenly Kila kitu kikabadilika
 
Ndio mana hua naomba Mungu anisaidie nikipata mume tusiishi karibu na wazazi wake hata wangu afadhali tukapange huko Mana muda kwingine hawa wazazi wetu ni vichomi.
 
Hahahaha anaye ni Mzee asiyependa maugomvi at least ni mtu pia amabaye Huwa ananijulia hali mara kwa mara lakini pia kwasabu Ile ni familia yake sidhani kama anaweza kuwa upande wangu.
mke na mume ni kabila gani na wewe ni kabila gani sio kwa ubaya nauliza
 
Ahsante Mkuu nitafanya hivyo nitakuja humu kuwapa mrejesho
 
Ndio mana hua naomba Mungu anisaidie nikipata mume tusiishi karibu na wazazi wake hata wangu afadhali tukapange huko Mana muda kwingine hawa wazazi wetu ni vichomi.
Haya kuja hapa umeisha nipata chagua tunaishi wapi fasta.....? [emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]
 

Hakuna kesi, Wala usiogope
 
Mama mkwe anasema nyumba ni yake Ndio.Na Mimi Nina baadhi ya transaction ambazo nilikuwa nikimpa mme kwa ajili ya ujenzi
Kama ulikuwa unatoa hela mkajenga hapo wanatakabkukudhulumu.
Wanakunyanyasa uondoke ili wabaki na nyumba wao wewe uondoke mikono mitupu.
Huyo mume kaungana na familia yake hivo jipange hakikisha kila ushahidi ulionao katika kuifikisha hapo unao.
 
Suluhu ni kutafuta mwanasheria,mind you simzungumzii yule Suluhu Lipaka jike
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…