bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Kumbe wewe ni dada yangu kabisa..!Yeye ni Mpare na Mimi ni Myambo
Stupidly ila WANYAMBO hatutishiwagi na ujinga hapo amekikwaa kisiki cha mpingo..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe wewe ni dada yangu kabisa..!Yeye ni Mpare na Mimi ni Myambo
Mie mpare Wa Mama wa kipare ni wa Tata Sana, kama hayo mashamba na unapokaa ni kwao, hata kama mmejenga na Mume wako, ni either ujitahidi muelewane na mume au uhame!Ubarikiwe Mkuu
Direct nataka nikwambia fanya upatane na familia ya mumeo..wewe una tatizo ususani kwenye majibu na kumbuka hilo ni kosa kuvunja mlango kwa sababu ulizo ziandika,kuna kati ya miezi sita au mwaka jela na faini juu.Naombeni msaada wa mawazo maana nahisi nitakufa kwa mawazo ila ninajikaza.Mimi ni mama wa miaka 30 Nina mtoto mmoja, nina ndoa ya kimila.Nampenda sana mme wangu lakini tumekuwa hatuna maelewano mazuri mm na yeye kwa sababu ni mtu wakusikiliza ndugu na pia ni mtu ambaye anaona mawazo ya ndugu zake ndo mawazo sahihi especially his mum,mpaka ikafika hatua ya yeye kuhama nyumbani na kwenda kuishi kwa wazazi wake ambao hawako mbali na tunapoishi yapata mwaka sasa tangu aondoke vikao vya kifamilia tumeshakaa lakini hakuna suluhu mpaka Sasa ambayo imefanikiwa.
Sasa hapa ninapoishi tuna nyumba mbili, nyumba Moja ni mpya bado hatujahamia hivyo tumeifanya kama store pia tulikuwa tumeshaweka na vitu vingine kama makabati ili tuweze kuhamia, kutokana na migogoro yetu mpaka sasa hatujahamia.
Hivi karibini nilipoteza ufunguo wa hiyo nyumba mpya hivyo ikanibidi nimuite Fundi ili aweke kitasa kipya ili niweze kufanyia nyumba usafi maana hapa tunapoishi Kuna mchwa wengi hivyo nilazima kufanya usafi vitu visiharibiwe na mchwa. Baada ya kubadilisha kitasa nikamwambie dada apafanyie usafi,wakati dada akiendelea na usafi,
Mara shemeji akaja amkamfukuza yule mdada na kuchukua zile funguo za nyumba na baadae mama mkwe alifika nyumbani na rafiki yake akinigombeza kwanini nimevunja mlango wa nyumba,nikamwambie sijavinja nimebadikisha kitasa,akaniambia kwanini nabadilisha kitasa Cha nyumba bila kumpa taarifa,nikamwambie,nyumba si yangu na mme wangu ndo maana sijawapa taarifa kama nimebadilisha kitasa na baada kama ya siku 10 kupita nikapigiwa simu nahitajika kituo Cha police kufika pale nikaambiwa nimeshitakiwa na mama mkwe kwa uharibifu wa Mali na kesi ikapelekwa mahamani mind you kwenye kiwanja tulichojenga tulipewa na baba mkwe.Naombeni msaada wa kisheria juu ya hii case
Ukweli hapo hutakiwiI know,maana walianza case ya Talaka ilivyofika kipengele Cha chumo la pomoja wakawithdral case na ndo baadae kifungua hii
Pole sana Shem. Hayo ni Mapito tuu na Shukuru kwani unakomazwa. Zingatia sana alichosema kambitza hapo juu.Naombeni msaada wa mawazo maana nahisi nitakufa kwa mawazo ila ninajikaza.Mimi ni mama wa miaka 30 Nina mtoto mmoja, nina ndoa ya kimila.Nampenda sana mme wangu lakini tumekuwa hatuna maelewano mazuri mm na yeye kwa sababu ni mtu wakusikiliza ndugu na pia ni mtu ambaye anaona mawazo ya ndugu zake ndo mawazo sahihi especially his mum,mpaka ikafika hatua ya yeye kuhama nyumbani na kwenda kuishi kwa wazazi wake ambao hawako mbali na tunapoishi yapata mwaka sasa tangu aondoke vikao vya kifamilia tumeshakaa lakini hakuna suluhu mpaka Sasa ambayo imefanikiwa.
Sasa hapa ninapoishi tuna nyumba mbili, nyumba Moja ni mpya bado hatujahamia hivyo tumeifanya kama store pia tulikuwa tumeshaweka na vitu vingine kama makabati ili tuweze kuhamia, kutokana na migogoro yetu mpaka sasa hatujahamia.
Hivi karibini nilipoteza ufunguo wa hiyo nyumba mpya hivyo ikanibidi nimuite Fundi ili aweke kitasa kipya ili niweze kufanyia nyumba usafi maana hapa tunapoishi Kuna mchwa wengi hivyo nilazima kufanya usafi vitu visiharibiwe na mchwa. Baada ya kubadilisha kitasa nikamwambie dada apafanyie usafi,wakati dada akiendelea na usafi,
Mara shemeji akaja amkamfukuza yule mdada na kuchukua zile funguo za nyumba na baadae mama mkwe alifika nyumbani na rafiki yake akinigombeza kwanini nimevunja mlango wa nyumba,nikamwambie sijavinja nimebadikisha kitasa,akaniambia kwanini nabadilisha kitasa Cha nyumba bila kumpa taarifa,nikamwambie,nyumba si yangu na mme wangu ndo maana sijawapa taarifa kama nimebadilisha kitasa na baada kama ya siku 10 kupita nikapigiwa simu nahitajika kituo Cha police kufika pale nikaambiwa nimeshitakiwa na mama mkwe kwa uharibifu wa Mali na kesi ikapelekwa mahamani mind you kwenye kiwanja tulichojenga tulipewa na baba mkwe.Naombeni msaada wa kisheria juu ya hii case
Usimtishe, tambua nchi inaendeshwa na mama. Wataingia wanasheria wa kike atajua hajui huyo mpare.Direct nataka nikwambia fanya upatane na familia ya mumeo..wewe una tatizo ususani kwenye majibu na kumbuka hilo ni kosa kuvunja mlango kwa sababu ulizo ziandika,kuna kati ya miezi sita au mwaka jela na faini juu.
Kisaikoloji utetezu wako hauna mashiko bali utakukandamiza mbele ya pilato...Hili bomu lililo andaliwa juu ya mke,mwanamke kuwa juu ya kila kitu mpaka mnajisahau ujue msipo jielewa mtaelewa......
umeomba ushauri na huo ndio wangu ukipenda chukua ukiona haufai waachie JF.
Yaa ni mashamba ya ukoo wao.Mie mpare Wa Mama wa kipare ni wa Tata Sana, kama hayo mashamba na unapokaa ni kwao, hata kama mmejenga na Mume wako, ni either ujitahidi muelewane na mume au uhame!
Ngumu Sana kukaa kwenye mashamba ya ukoo wa watu na wewe huelewani nao na hata mume wako hamkubaliani na karudi kwao, mtoto ni mmoja tu, kama hamuelewani mwaka mzima nini kina kuweka hapo?
Labda kama mashamba mmenunua na Mume wako, ila kama mmepewa na wakwe na wa naishi karibu, that is never health, mwenyezi Mungu akupe wepesi.
Hiyo kesi sio kitu, it aisha na Wala hakuna shida 'kama unachosema hapa ni ukweli'
Maana sioni mashiko ya mahakama kabisa, kwa sababu kesi ni nyepesi, kuna tatizo kubwa zaidi la ku solve, maana nyinyi ni maadui, na hata mumeo hayupo upande wako.
Serious komaa nao, kimbilia TAWLA faster watakusaidia ata ushauri chakufanya. Ukiona vipi nicheki nikuunganishe na wanasheria wa kike wakusaidie mawazo kwanza.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie mshikeni masikio...Ukweli ndio huo kiwanja cha Baba mkwe nyumba ya jamaa kajenga,sasa hapo bwege nani...Usimtishe, tambua nchi inaendeshwa na mama. Wataingia wanasheria wa kike atajua hajui huyo mpare.
Popote isiwe tu karibu na wazazi kwakweliHaya kuja hapa umeisha nipata chagua tunaishi wapi fasta.....? [emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]
Yaa ni mashamba ya ukoo wao.
Kuna kitu kinaitwa mchumo unauhakika jamaa kajenga nyumba mwenyewe...?Nyie mshikeni masikio...Ukweli ndio huo kiwanja cha Baba mkwe nyumba ya jamaa kajenga,sasa hapo bwege nani...
Ni shetani tuu anawachanga kaa chini jirudi.hakuna linalo shindikana chini ya juaAhsante Mkuu,wahataki reconciliation yoyote,so namwachia Mungu tu
Soma maelezo ya mleta mada ndio utaelewa,tatizo lenu mnajifanya wana sheria mkija mahakamani mihemuko yote inaisha...Sheria sio hadith za bibi na babu yako.Kuna kitu kinaitwa mchumo unauhakika jamaa kajenga nyumba mwenyewe...?
Pole wanyambo huwa wanauzuri fulani ambao sio ajabu mama mkwe kukuonea wivu, je ukijitafakari wewe unamakwazo gani kwa mumeo au huwa mumeo anakulalamikia mambo gani? Weakness zako zimkwazazo mumeo unazijua? Mume kukuhama nyumba ni big issueYes wote wapare
Ni kweli kuna mtihani hapo lakini Ushindi ni Lazima. Kama hatojali anaweza kuomba msaada kwa Ofisi ya Ustawi wa Jamii(W). Inaonekana pengine mama mkwe hampendi huyu mke wa mwanae na labda ameshamshawishi mwanae (Mume wa huyu mama) amwache kiaina. Yaani anataka waachane/kuwa-Achanisha/Kuwatenganisha.inaonekana wamejenga nyumban kwa mume na mume hawalewan so hapo ht nyumba ukute ma mkwe anasema ni yakwake na kwakuwa imejengwa kwake hapo kuna mtihani
Hahahahah..! Kama nadhani ni wewe vile...Popote isiwe tu karibu na wazazi kwakweli