EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Nenda kwa fundi waya chap!Sawa niliweka Lita kumi na ckutembea umbali mrefu Kama nusu km hivi lakini bado taa inawaka
Mark II gari ngumu sanaSorry Nina mark II grande Juzi Kati iliwasha taa ya mafuta na nilikuwa nakaribia eneo lenye kituo cha mafuta nikapitia nikaweka mafuta lakini cha ajabu ile geji ya mafuta ikabaki palepale chini na taa ya mafuta ikaendelea kuwaka je hapo tatizo ni nini naombeni msaada
Mark II gari ngumu sana
Ngoja waje kukupa muongozo...
Ishu ni wese tu hapoGari ngumu halafu safari ndefu hapo inamudu kabisa.
Sure mzee, angejaribu hata nusu tankIshu ni wese tu hapo
Boss sema ina kavumbi kwenye hizo vent za Ac😀😀😀Yangu ya 2003 beams2000
35th aniversary.
Ipige services za kutosha hutaijutia hio chuma😎