Msaada: Mark X na Verossa


Unaeza nambia hizo gari za kwanzia 2005 zinatumiaje umeme mwngi kuliko mafuta😁😁
 
Nataka somo zaidi hapo, maana mimi nina gari ya cc 2000 bila mafuta ya elfu 80 sijamaliza wiki bado.

Mara nyingi ubovu wa nini unachangia utumiaji wa mafuta zaidi ya kawaida mkuu?

Kwa hiyo we unapima ulaji wa mafuta kwa wiki??😁
 
Mawazo ya kimaskini sana hayo! Ukitaka gari angalia pesa zako na sio mafuta. Sasa c wangetengeneza yanayotumia chips badala ya mafuta?

Ni ujinga class 1 kuweka mafuta tu ndio kigezo cha kumiliki gari
Punguza hasira mkuu, Sio wote wananunua magari kwasababu tu wameyapenda, wengine hununua ili kurahisisha shughuli zao.
Akishajua consumption itamrahisishia kufanya ulinganifu wa kipato chake na matumizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wanaochangia humu hawana hata bajaji,wanaongea vitu wasivyovijua.....mtu anachangia gari hii nzuri kuliko hii wakati hana experience ya hizo gari bali ni hearsays tu.
wazee wana masmartfone makali la hawajui ata kubadili dp watsapp wanasaidiwa na vijana wa form 1 wenye vitochi. kua na kitu sio kukijua
 
Hiyo gari itakuwa mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…