Msaada: Mark X na Verossa

Msaada: Mark X na Verossa

Ningekuwa mimi Ningenunua Mark X kama uwezo wa kununua upo. Mark X ina ulaji mzuri wa mafuta kama ni mpya na inafanyiwa service vizuri. Uzuri wa Magari kuanzia Mwaka 2005 na kuendelea mengi yao hutumia Umeme sana kuliko Mafuta ulaji wa Mafuta wa Verosa cc1900 unalingana na Mark X ya cc2500. Wengi wetu tunasema gari flani linakula mafuta kwasababu wengi wetu tunaweka mafuta ya elfu 10 hadi kumi tano ukiendesha kidogo tu taa ishawaka hapo sasa unaanza da gari inakunywa mafuta hiyo..Verosa kiukweli Bodi yake sio kivile japo la mark x ni jepesi sana ila kimuonekano Mark X ndio gari kwanza ina comfortability, na ni nzuri kwenye lami ila offroad unaitesa na kuichosha tofauti na verosa inaweza kuhimili vishindo. Yangu ni hayo ngoja wengine waje waongezee na kurekebisha pale ambapo sipo sahihi

Unaeza nambia hizo gari za kwanzia 2005 zinatumiaje umeme mwngi kuliko mafuta😁😁
 
Nataka somo zaidi hapo, maana mimi nina gari ya cc 2000 bila mafuta ya elfu 80 sijamaliza wiki bado.

Mara nyingi ubovu wa nini unachangia utumiaji wa mafuta zaidi ya kawaida mkuu?

Kwa hiyo we unapima ulaji wa mafuta kwa wiki??😁
 
Mawazo ya kimaskini sana hayo! Ukitaka gari angalia pesa zako na sio mafuta. Sasa c wangetengeneza yanayotumia chips badala ya mafuta?

Ni ujinga class 1 kuweka mafuta tu ndio kigezo cha kumiliki gari
Punguza hasira mkuu, Sio wote wananunua magari kwasababu tu wameyapenda, wengine hununua ili kurahisisha shughuli zao.
Akishajua consumption itamrahisishia kufanya ulinganifu wa kipato chake na matumizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wanaochangia humu hawana hata bajaji,wanaongea vitu wasivyovijua.....mtu anachangia gari hii nzuri kuliko hii wakati hana experience ya hizo gari bali ni hearsays tu.
wazee wana masmartfone makali la hawajui ata kubadili dp watsapp wanasaidiwa na vijana wa form 1 wenye vitochi. kua na kitu sio kukijua
 
Tusidanganyane hapa,jamaa yangu yupo mwenge analitumia kwa wiki mara moja,nijini lile sio gari,nikweli kabisa km 6 kwa lita tena inaweza hata kupungua,alikuwa anatumia laki unusu kwa siku tano tu na hapo ni root ya mwenge to temeke,achakabisa hiyo gari razima uwe na urafiki na watu wa
Hiyo gari itakuwa mbovu
 
Back
Top Bottom