Msaada maswali ya interview ya nafasi ya Assistant Airport security TAA

Msaada maswali ya interview ya nafasi ya Assistant Airport security TAA

Ally Abdulrahman

Senior Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
194
Reaction score
312
Wakuu.

Naomben hint za maswali ya interview ya assistant airport security kw wenye uzoefu nazo. Nimekuw shortlisted Nd maan naomb maswali
 
1.Ushawahi Kupaa na Ungo ?

2.Una experience na Usafiri wa fisi Angani huku ukiwa unayavuta Masikio yake😄😄Yani Air Fisi Corporation Ltd?
 
1.Ushawahi Kupaa na Ungo ?

2.Una experience na Usafiri wa fisi Angani huku ukiwa unayavuta Masikio yake😄😄Yani Air Fisi Corporation Ltd?
All the best Mkuu!
Mungu akupe kazi hii Mkuu!
Mungu akusemeshe maswali na kukupa majibu!

Kikubwa katika yote Mungu akupe kibali
 
Istudy vizuri hiyo taasisi...

Maswali hayawezi kuwa nje ya taasisi/ nafasi ambayo umeiomba...

Yakiwa nje ya hapo basi ni yale ya kupima uwezo wako wa kufikiria, kutatua matatizo, ushawishi, uongozi n.k

Uwe na bahati njema mkuu 🤝
 
Asante mkuu
 
Hizi ni moja ya kazi ambazo hazikaukagi kutangazwa... Watakuja waliozifanya
 
1.Ushawahi Kupaa na Ungo ?

2.Una experience na Usafiri wa fisi Angani huku ukiwa unayavuta Masikio yake😄😄Yani Air Fisi Corporation Ltd?
Japo sina uzoefu na field hii zaidi ya kuruka sana tu, nashauri ukienda vaa vizuri, jiandae kwa kurudia maswali unayodhani yanaweza kuulizwa, jiamini, na ukijibu maswali jibu kwa ufasaha bila kuwachosha au kuwanyima baadhi ya taarifa wasikilizaji wako. Nadhani hii itakusaidia mwanangu.
 
Back
Top Bottom