Ally Abdulrahman
Senior Member
- Mar 28, 2015
- 194
- 312
Chat na gtp atakuguard vizuri tuWakuu.
Naomben hint za maswali ya interview ya assistant airport security kw wenye uzoefu nazo. Nimekuw shortlisted Nd maan naomb maswali
Usitufundishe uchawi wako kijana1.Ushawahi Kupaa na Ungo ?
2.Una experience na Usafiri wa fisi Angani huku ukiwa unayavuta Masikio yake😄😄Yani Air Fisi Corporation Ltd?
Saw mkuuChat na gtp atakuguard vizuri tu
All the best Mkuu!1.Ushawahi Kupaa na Ungo ?
2.Una experience na Usafiri wa fisi Angani huku ukiwa unayavuta Masikio yake😄😄Yani Air Fisi Corporation Ltd?
Asante mkuuIstudy vizuri hiyo taasisi...
Maswali hayawezi kuwa nje ya taasisi/ nafasi ambayo umeiomba...
Yakiwa nje ya hapo basi ni yale ya kupima uwezo wako wa kufikiria, kutatua matatizo, ushawishi, uongozi n.k
Uwe na bahati njema mkuu 🤝
Japo sina uzoefu na field hii zaidi ya kuruka sana tu, nashauri ukienda vaa vizuri, jiandae kwa kurudia maswali unayodhani yanaweza kuulizwa, jiamini, na ukijibu maswali jibu kwa ufasaha bila kuwachosha au kuwanyima baadhi ya taarifa wasikilizaji wako. Nadhani hii itakusaidia mwanangu.1.Ushawahi Kupaa na Ungo ?
2.Una experience na Usafiri wa fisi Angani huku ukiwa unayavuta Masikio yake😄😄Yani Air Fisi Corporation Ltd?