Msaada matibabu ya korodani kuuma

Msaada matibabu ya korodani kuuma

Mpak sasa xijui nianzie wap ni ixhie wap korodan zang zina sumbua nisha 2mia idad kubw ya madaw ya hospital mpak nikitoa jasho ni dawa tu nikitembea korodan zinachoma yaan burning pale napo amka asubuh ngoz ya korodan inapopata ubarid ngozi inajikusanya inachoma dawa nime2mia za fangasi za alegy chache cream kama zote ila korodan hazionyesh kama kuna chochot wala alam hakun panawasha kiax panakata ila kuchoma ni kl muda uti sina ukwmw sida dam hain shida mkojo pia upo saw sijui tatizo msaada wanandugu msaada
Nenda Hospitali kubwa ili ukawaone Madaktari Bingwa wakufanyie uchunguzi wa kina, ili kubaini tatizo hasa linalo kusumbua.

Ni makosa makubwa kunywa madawa makali ya antibiotics, kwa kujinunulia tu kiholela kwenye maduka ya madawa, au kwa maelekezo ya madaktari ambao siyo Mahiri kwenye magonjwa sugu.
 
Nimepita kwa baadh ya madaktar bingwa wao wawanaixia kuandika dawa 2 bax
 
Mpak sasa xijui nianzie wap ni ixhie wap korodan zang zina sumbua nisha 2mia idad kubw ya madaw ya hospital mpak nikitoa jasho ni dawa tu nikitembea korodan zinachoma yaan burning pale napo amka asubuh ngoz ya korodan inapopata ubarid ngozi inajikusanya inachoma dawa nime2mia za fangasi za alegy chache cream kama zote ila korodan hazionyesh kama kuna chochot wala alam hakun panawasha kiax panakata ila kuchoma ni kl muda uti sina ukwmw sida dam hain shida mkojo pia upo saw sijui tatizo msaada wanandugu msaada
Mada hizi mbona tumeshajadili humu?
Meza kidonge kimoja cha cetrizine saa moja kabla ya kulala kila siku.
 
Hiyo ni PUMBU JERO

Maji unayooga yatakua na FANGASI, BACTERIA n..k, kama ni ya kisima. Hama huko nenda penye maji ya bomba.

Kama huwezi hama, chemsha maji ya kuoga yawe moto kabisa kama ugali, acha yapoe yawe vuguvugu then oga

Na UFUE BOKSA/ CHUPI/ KAPTULA unayovaa ndani
Zingatia ushauri huu...na hii nakuongezea.
-Acha kuogea sabuni za kufulia..zile zina kemikali kali za kutoa uchafu wa ngua ila sio mwili.
- ukimaliza kuoga kausha mbupu kwa Taulo safi. Narudia tena taulo safi. Zikaushe zikauke. Ukivaa hata boxer safi ila kama kuna ubichi unafanya kazi bure.
-Tibu maji ya kuoga na chombo unachoogea..jitahidi pia usafi bafuni kupunguza fungus.
  • kama upo mazingira ya joto hakikisha ukilala unaacha vyombo wazi vipate mahewaaaaa ila kama upo dar hakikisha unafunga dirisha. Baada ya ushauri huu picha yoyote itakayorushwa mtandaoni ikiwa hivyo tutajua ni wewe.
  • Mwisho sio kila sehemu za kuchonya..ukiacha U.T.I wanawake wengne wana mafungus wakali kuliko hata maneno yao..hata ukivaa mpira kama game ni kali majimaji ya k yanafanya hizo mbupu kuwa wet....game za kibabe kama unapiga kisomi huwezi kupata hizo.

kama haujafika hatua ya mbupu kuwa nyekundu kama nyamapori ya kuchoma utaona mabadiliko ya kupona haraka sana. Tumepitia hayo kama yako na zaidi yako lakini ikawa fresh tu..fuata ushauri huo. Ogopa pia mademu wanaotumia vidonge kuzuia mimba kwenye maudhi madogomadogo huwa hayaishiagi kwao wanakupa na wewe pia.

Goodluck...
 
Back
Top Bottom