Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Nenda Hospitali kubwa ili ukawaone Madaktari Bingwa wakufanyie uchunguzi wa kina, ili kubaini tatizo hasa linalo kusumbua.Mpak sasa xijui nianzie wap ni ixhie wap korodan zang zina sumbua nisha 2mia idad kubw ya madaw ya hospital mpak nikitoa jasho ni dawa tu nikitembea korodan zinachoma yaan burning pale napo amka asubuh ngoz ya korodan inapopata ubarid ngozi inajikusanya inachoma dawa nime2mia za fangasi za alegy chache cream kama zote ila korodan hazionyesh kama kuna chochot wala alam hakun panawasha kiax panakata ila kuchoma ni kl muda uti sina ukwmw sida dam hain shida mkojo pia upo saw sijui tatizo msaada wanandugu msaada
Ni makosa makubwa kunywa madawa makali ya antibiotics, kwa kujinunulia tu kiholela kwenye maduka ya madawa, au kwa maelekezo ya madaktari ambao siyo Mahiri kwenye magonjwa sugu.