franswamj
Member
- May 23, 2014
- 96
- 11
Jaman mi nina mtoto wa miaka 2, akiwa na miezi mitatu alipata infection ya masikio hadi kufikia kunuka na kutoa usaa kwenye. Tukaangaike hospitali nyingi ikiwa ni pamoja na muhimbili na ikenywa pale mwembe chai, lakin baada ya miangaiko na misukosuko yote mtoto akapona ile infection ikapotea kabisa, bt tatizo ni kwamba ile hali imeanza kurudi tena sikio linatoa harufu kama zamani, naomba ushauri wandugu ni wapi naweza kupata matibabu