Msaada: Matibabu ya Masikio

Msaada: Matibabu ya Masikio

franswamj

Member
Joined
May 23, 2014
Posts
96
Reaction score
11
Jaman mi nina mtoto wa miaka 2, akiwa na miezi mitatu alipata infection ya masikio hadi kufikia kunuka na kutoa usaa kwenye. Tukaangaike hospitali nyingi ikiwa ni pamoja na muhimbili na ikenywa pale mwembe chai, lakin baada ya miangaiko na misukosuko yote mtoto akapona ile infection ikapotea kabisa, bt tatizo ni kwamba ile hali imeanza kurudi tena sikio linatoa harufu kama zamani, naomba ushauri wandugu ni wapi naweza kupata matibabu
 
Pole mkuu,peleka huu Uzi kule JF Doctor utapata msaada kuliko hapa ulipouweka...
 
Jaman mi nina mtoto wa miaka 2, akiwa na miezi mitatu alipata infection ya masikio hadi kufikia kunuka na kutoa usaa kwenye. Tukaangaike hospitali nyingi ikiwa ni pamoja na muhimbili na ikenywa pale mwembe chai, lakin baada ya miangaiko na misukosuko yote mtoto akapona ile infection ikapotea kabisa, bt tatizo ni kwamba ile hali imeanza kurudi tena sikio linatoa harufu kama zamani, naomba ushauri wandugu ni wapi naweza kupata matibabu
Pole sana ukikosa dawa nitafute kwa wakati wako nitakupa ukinataka Kwa Mawasiliano na mimi
Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Osha hayo masikio kwa kutumia sabuni yenye dawa kama dettol.Nilikuwa nina tatizo kama hilo zaidi ya miaka 5 limekwisha kabisa kwa njia hii.
 
Sikio ni kiungo sensetive sana kabla hujaweka chochote,nenda kwenye kituo cha afya akachekiwe na wataalamu,pale regency kuna specialist mzuri sana wa masikio
 
Back
Top Bottom