Msaada matumizi ya hizi buttons kwenye Gari automatic

Wataalamu habari za majukumu,nilikuwa ninaomba kuelemishwa kuhusu hizi buttons zilizozungushia duara jekundu zinaitwaje na huwa zinatumika wakati gani?View attachment 3039463
Hio gari ina option ya Heated Seats...wakati wa baridi ukibonyeza hio button kiti kinapashwa moto. Leather seats zinashika sana joto au baridi.
Low/High ni kupandisha na kushusha joto.
 
Hio gari ina option ya Heated Seats...wakati wa baridi ukibonyeza hio button kiti kinapashwa moto. Leather seats zinashika sana joto au baridi.
Low/High ni kupandisha na kushusha joto.

Duh Mkuu nimejaribu ni kweli siti ilikuwa ya moto,na vipi nikiiwasha inakuwa ni siti zote au kwa Dereva tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…