Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio gari ina option ya Heated Seats...wakati wa baridi ukibonyeza hio button kiti kinapashwa moto. Leather seats zinashika sana joto au baridi.Wataalamu habari za majukumu,nilikuwa ninaomba kuelemishwa kuhusu hizi buttons zilizozungushia duara jekundu zinaitwaje na huwa zinatumika wakati gani?View attachment 3039463
Ni hatari inaweza kuamsha hisia zingine bila kutakaHio gari ina option ya Heated Seats...wakati wa baridi ukibonyeza hio button kiti kinapashwa moto. Leather seats zinashika sana joto au baridi.
Low/High ni kupandisha na kushusha joto.
Ukimpa lift mchumba unawasha hio kidogo.Ni hatari inaweza kuamsha hisia zingine bila kutaka
Hio gari ina option ya Heated Seats...wakati wa baridi ukibonyeza hio button kiti kinapashwa moto. Leather seats zinashika sana joto au baridi.
Low/High ni kupandisha na kushusha joto.