Msaada matumizi ya hizi buttons kwenye Gari automatic

Msaada matumizi ya hizi buttons kwenye Gari automatic

Olsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
466
Reaction score
273
Wataalamu habari za majukumu, nilikuwa ninaomba kuelemishwa kuhusu hizi buttons zilizozungushia duara jekundu zinaitwaje na huwa zinatumika wakati gani?
IMG_6980.jpg
 
Wataalamu habari za majukumu,nilikuwa ninaomba kuelemishwa kuhusu hizi buttons zilizozungushia duara jekundu zinaitwaje na huwa zinatumika wakati gani?View attachment 3039463
Hio gari ina option ya Heated Seats...wakati wa baridi ukibonyeza hio button kiti kinapashwa moto. Leather seats zinashika sana joto au baridi.
Low/High ni kupandisha na kushusha joto.
 
Hio gari ina option ya Heated Seats...wakati wa baridi ukibonyeza hio button kiti kinapashwa moto. Leather seats zinashika sana joto au baridi.
Low/High ni kupandisha na kushusha joto.

Duh Mkuu nimejaribu ni kweli siti ilikuwa ya moto,na vipi nikiiwasha inakuwa ni siti zote au kwa Dereva tu?
 
Back
Top Bottom