Msaada maumivu wakati wa haja kubwa

Msaada maumivu wakati wa haja kubwa

masai gel

Senior Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
125
Reaction score
42
Ndugu zangu naombeni msaada juu ya maumivu wakati wa haja kubwa hata baada ya kumaliza huwa napata maumivu yanayopelekea hata kushindwa kukaa,Na pia kuna kama nyama imechomoza kwa nje kwenye tundu la haja kubwa,Napata choo kigumu sana pamoja na jitihada za kula marunda na mboga za majani kila diku na Maji lita 4, je huu ni ugonjwa gani?Nifanyeje?
 
duh ndugu pole ngoja madokta waje.....japo lazima wakuhoji kama ulishwahi kucheza ule mchezo mbaya wa kuruka ukuta...
 
Hiyo kitu inaitwa Mgoro au Bawasili.. Ni Ugonjwa ambao mara nyingi unatibiwa na kienyeji zaidi ya Hospitali.
 
Unaishi wapi? unapenda sana kula mkate mweupe au ugali wa sembe?, unatumia kilevi chochote? unajishughulisha na kazi gani?
 
Ndugu zangu naombeni msaada juu ya maumivu wakati wa haja kubwa hata baada ya kumaliza huwa napata maumivu yanayopelekea hata kushindwa kukaa,Na pia kuna kama nyama imechomoza kwa nje kwenye tundu la haja kubwa,Napata choo kigumu sana pamoja na jitihada za kula marunda na mboga za majani kila diku na Maji lita 4, je huu ni ugonjwa gani?Nifanyeje?

pole sana
ugonjwa huo unaitwa haemorrhoids hizi ni vericose vain zinakuwa kwenye m,kutokana na kutumia nguvu nyingi wakati wa kunya vinavimba,vingine vinapasuka,vingine vinakuwa ndani ya m,na vingine kwa nje ndo hivyo vinachomoza unapojisaidia.

mambo mengi yanayochangia ni kukaa muda mrefu,wakati wa mimba kutokana na uzito mwingi kuelekezwa chini,kubeba vituvizito.

........mambo ya msaada vizuri uendelee kunywa maji mengi,matunda,mboga sana kama ulivyosema ni msaada mzuri.
.........usiende haja kama unaona utahitaji kutumia nguvu kuutoa mzigo,subiri mpaka mzigo uwe umeiva sawasawa kwenda kulenga tundu tu la choo unashuka wenyewe bila nguvu.
..........mara nyingi vinaweza tokea halafu vikaisha vyenyewe tu.
...........kama vitaendelea muda mrefu nenda hosp.wakaangalie wanaweza kukupa dawa za kusaidia kukausha ama kufanyiwa band ligation yaani kile kinyama kinafungwa kwa kamba kwenye base yake kinakosa mzunguko wa damu mpaka kina kauka.ama
......kufanyiwa upasuaji mdogo kuviondoa.
 
My sstr naomba n pm, kwa msaada zaid juu ya hilo tatizo ulionalo.
 
Pole sana ndugu, ila dawa yake ni mafuta ya kondoo na asali.
Tafta mafuta ya kondoo na asali, muda utakapohisi haja kubwa basi yapashe mafuta joto(uvuguvugu) kidogo then mix na asali muombe mtu akumiminie kunako haja kubwa baada ya kutoka kushusha mzigo. Fanya hivyo mara kwa mara ila haitachukua wiki hiyo hali itaisha kabisa.
Hiyo ndio dawa usipuuzie na kumbuka kuleta mrejesho hapa.
 
Mafuta ya kondoo napata wapi mjini hapa?
 
Duuuh hii kiboko

Kiboko kivipi? kondoo ni bei rahisi sana haifiki hata 80k. Kama utakuta zaidi ya hiyo bei tuwasiliane nikutumie mafuta kwa sh50k.
Cha msingi zingatia matibabu ugonjwa mbaya sana huo make unakondesha sana.
 
Cha kukushauli nenda hospital ukachukue stools,ujue ni aina gani ya wadudu waliosababisha tatzo hilo kisha unaanza tiba,pia kama ukokaribu na doctor mwambie akufanyie reduction ili ile nyama ilipotoka kisha anakupa metronidazole pamoja na castor oil kwa ajili ya kulainisha choo.Ungekuwa karibu na mimi ningekufanyia wengisana nilishawasaidia wenye tatzo kama hilo,pia ninadawa ya mitishamba inayotibu tatzo hilo ni dawa nzurisana ya kupaka.kwa mengzaid ntafute 0759217720
 
Back
Top Bottom