Msaada, mawazo na uzoefu biashara ya asali

Uza kwa uzito utafaidika, asali hubadirika ujazo kulingana na joto na baridi.
Mkuu, asali ikipungua ujazo pia uzito unapungua automatic. Kwa hiyo kikubwa muuzaji ajue kwenye lita moja ya asali kuna kilo ngapi? Then apige hesabu.
 
Nina shida na nta mkuu
 
Mkuu, asali ikipungua ujazo pia uzito unapungua automatic. Kwa hiyo kikubwa muuzaji ajue kwenye lita moja ya asali kuna kilo ngapi? Then apige hesabu.
Maelezo mazuri sana, shukrani mkuu
 
Ofisi za Wakala wa Huduma za Misitu au vizuia vya Maliasili. Dumu la lita 20 ni shs 3,000 hivi kibali chake.
3000 ni kibali kwa lita 20 tuu au kibali cha mwaka mzima au miwili? halafu ulipe na VAT/kodi then makodi ya halmashauri na masoko? nimeamini anayetutia umaskini ni serikali sio mwingine
 
Ni changamoto kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…