relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,336
- 5,217
Ushauri mwingine bhana! Sasa hao nguchiro nnachokiona watakula nyoka na kuku unaotegea kufukanguchiro anafugika mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri mwingine bhana! Sasa hao nguchiro nnachokiona watakula nyoka na kuku unaotegea kufukanguchiro anafugika mkuu?
Da pole Sana mkuu but kuna mti Wa mnyoka (Mnyonga Pembe ) hufanya kazi zifuatazo Kwanza hutoa harufu ambayo Adui Nyoka na kenge hufukuzwa yaan haishi mazingira hayo,pia husaidia kuponya Kama mtu kangatwa na nyoka au kutemewa mate kwa kusaga majani au magome na kumpaka haichukui muda kapona pia husaidia Kuku waliodumaa au wenye minyoo kuwaboost inshort nyoka hapatani na huu, unapadwa Kama muhogo either Kama Ua kuzunguunga nyumba au mipakani mwa shamba na kuuprune kuleta shape unapatikana Tanga nitafute whatsapp nikutumie picha kwa no 0788293736Wapendwa,
katika jitihada za kupambana na umaskini, nilichukua kakichaka ambako nakasafisha kwa ajili ya shamba na shughuli za ufugaji. Changamoto niliyokutana nayo ni kuwa:
1. Kuna vichaka vingi vinavyozunguka eneo hili kiasi kwamba hata nikisafisha bado majirani zangu wanabaki na vichaka
2. Eneo hili ni zuri sana lakini lina nyoka wengi.
Naomba kujua mbinu za kisayansi - chemicals, mimea ya kupanda kufukuza nyoka, etc ninazoweza kutumia ili niepukane na adha ya nyoka hawa.
Nitashukuru kupata michango iliyo makini.
Sehemu ambazo sangara wanaishi mimea hasa mazao huwa hayastawi, kwa hiyo atatua tatizo la nyoka ila ataleta tatizo kubwa zaidi la rutuba ktk udongo, nadhani maeneo Kisarawe Maneromango watakuwa wanalijua vizurikapandikize wadudu waoitwa sangara. ni aina ya siafu na wanaishi kwenye vishimo wanavojichimbia wenyewe ardhini. hawa wadudu ni dhahama kubwa sana kwa nyoka. popote walipo nyoka hakanyagi
Yupo sahii sana ila uzur wa koboko hukaa mbali sana na watu yani huwa hapendi mechanical kelele. Kwake kelele humpandisha hasra so hukaaa mbali sana na sehem zenye keleleYa kweli haya?
Mzee mbona unanitisha nitaogopa kwenda shambani kwangu sasa
Black mamba a.k.a koboko huwa anawika kama jogoo ni nyoka hatari zaidi maana yeye ukipita maeneo yake lazima akuue tofauti na wengine ambao mpaka aidha umkanyage au umguse. Anakawaida ya kukaa juu ya mti na kugonga kichwani, akikukosa atakukimbiza mpaka akupate ukiwahi kwenye gari hukaa chini ya gari na utatoka nae mbeya mpaka dar ukishuka tu game linaendelea baada ya half time. Ndo maana jamaa akasema hapo hawapo maana mtoa mada tayari angekua rip.
Ndio maana biblia imeandika muwe werevu kama nyokaHio niliona live kwenye documentary moja ya DWTV, Huyo nyoka alijificha chini ya prado aisee!
Mwanzo alionekana anavuka upande mmoja wa barabara kwenda mwingine mzungu akamuona metre kadhaa mbele akasimamisha gari ili amuache avuke, then akaendelea na safari ile anafika home si ndio kufungua mlango wa gari ashuke, hapo hapo akapokea sakramenti. Uzuri alikuwa na mkewe ndio hapo hapo akawasha gari tena kuelekea hospitali ya jirani kupata huduma dokta ndio akaambiwa angechelewa kidogo tu hata nusu saa asingetoboa!
ulikuwa sahihi mkuukapandikize wadudu waoitwa sangara. ni aina ya siafu na wanaishi kwenye vishimo wanavojichimbia wenyewe ardhini. hawa wadudu ni dhahama kubwa sana kwa nyoka. popote walipo nyoka hakanyagi
Vipi kwa kwenge? Inafanya kazi hii?Hatua ya muda mfupi ni kunyunyizia diesel (au mafuta ya taa) kuzunguka eneo lako.
Unaweza kutumia sprayer kama hii hapa chini kwenye picha kunyunyizia diesel hiyo kuzunguka eneo lako.
Harufu ya diesel inawakera sana nyoka na wataenda mbali.
Ila itabidi urudie ku-spray kama mvua itanyesha, maana maji ya mvua yakapunguza harufu ya diesel.
![]()
Mkuu mpaka anaachanisha mdomo wake nimchunguze kama ni mweusi mimi nakuwa nasubili nini hapo???black mamba akiachama kinywa chake ni cheusi but the body is green
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kungekuwa na uwezekano,unashusha Fuso imejaa wachina,ndani ya mwezi kwisha habari.