Msaada: Mbinu Kufukuza Nyoka mashambani

Nyoka hapendi harufu ya mpira...tafuta mataili kabovu choma - nyoka wote nduki.
 
Choma matairi maboviu ya magari yasiyotumika harufu yake inawafukuza
 
Tafuta kuna mti unaitwa snake tree au mvuje kwa kiswahili panda huu mti kwenye kila kona la eneo lako nyoka hasogei mkuu utakuja nishukuru badae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…