Msaada: Mbwa wangu amebakiza saa machache afe

Sijawahi kabisa kuwaza hayo mkuu
Lakini since umesema na hata mbwa wenyewe wameenda..
Nitajaribu
Usipoziba ufa utajenga ukuta
 
Huyo aliowapa chakula kachoka kutumwa tumwa hio kazi ya kuwalisha, kuwazolea nnya na kuwafungia kila asubuhi😂 kuwa nae makini maana ndiye 1st suspect!
 
Hiyo sumu kapewa mnyweshe maziwa na chupa kwa nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iliwahi nitokea na mimi ,kumbe wezi wana mipango yao walimpa sumu mmbwa wiki moja kabla maana dog alikua kikwazo kwao maana alikua Mkali sana wezi walipokuja walinipukutisha kuku 100+.....mmbwa nae alikufa
Dah mnanitisha sana wakuu.
Na pia mifugo ninayo ya aina tofauti huenda nami nikapukutishwa kuku
 
Kuna jirani yangu mjeda nae anafuga Mmbwa 3,sasa bajeti naona shida kuna Mmbwa mmoja anatoka bandani anakamta kuku,
alikamata jogoo la jirani,jirani nadhani anamgwaya,namsubiri akamate jogoo langu,aone kivumbi changu na Mmbwa wake nawapeleka kuzimu pambavu...
 
Haujui Veterinary yoyote ?, Nadhani hapo ndio utapa uhakika.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…