Msaada: Mbwa wangu amebakiza saa machache afe

Msaada: Mbwa wangu amebakiza saa machache afe

Funga kamera za ulinzi hapo kwako na uweke katika maeneo ya siri sana hata watoto wako wasijue.

Halafu fuga mbwa wengine. Tena hawa wasasa hivi ikibidi wawe wanavuta bangi kabisa.

Mbaya wako akija tena utaweza mjua kwa haraka sana. Mimi naamini sana msaada wa technology zaidi kuliko matumizi ya mbwa maana mbwa ndio kama hivyo wanaweza malizwa chap na sumu kali.
Sijawahi kabisa kuwaza hayo mkuu
Lakini since umesema na hata mbwa wenyewe wameenda..
Nitajaribu
Usipoziba ufa utajenga ukuta
 
Wakuu
Mbwa Nilikuwa nao watatu ila cha ajabu wawili wamekufa jana kwa wakati mmoja,,
Nimewazika leo na huyu mmoja aliebaki nae ni hivyo hata hatikisiki na hana nguvu za kusimama.
Dalili zao wote walikuwa wanatoa mapovu mdomoni, wakisimama wanaanguka, na hata kula wakawa hawawezi na walikuwa wana wadudu lakini dawa niliwapatia jana, huyu aliebaki tumbo limevimba,

Nilikuta wamepewa chakula lakini nilipowafungulia wakawa hawawezi kutembea wanaanguka na mapovu wanatoa
Huyo aliowapa chakula kachoka kutumwa tumwa hio kazi ya kuwalisha, kuwazolea nnya na kuwafungia kila asubuhi😂 kuwa nae makini maana ndiye 1st suspect!
 
Wakuu
Mbwa Nilikuwa nao watatu ila cha ajabu wawili wamekufa jana kwa wakati mmoja,,
Nimewazika leo na huyu mmoja aliebaki nae ni hivyo hata hatikisiki na hana nguvu za kusimama.
Dalili zao wote walikuwa wanatoa mapovu mdomoni, wakisimama wanaanguka, na hata kula wakawa hawawezi na walikuwa wana wadudu lakini dawa niliwapatia jana, huyu aliebaki tumbo limevimba,

Nilikuta wamepewa chakula lakini nilipowafungulia wakawa hawawezi kutembea wanaanguka na mapovu wanatoa
Hiyo sumu kapewa mnyweshe maziwa na chupa kwa nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iliwahi nitokea na mimi ,kumbe wezi wana mipango yao walimpa sumu mmbwa wiki moja kabla maana dog alikua kikwazo kwao maana alikua Mkali sana wezi walipokuja walinipukutisha kuku 100+.....mmbwa nae alikufa
Dah mnanitisha sana wakuu.
Na pia mifugo ninayo ya aina tofauti huenda nami nikapukutishwa kuku
 
Kuna jirani yangu mjeda nae anafuga Mmbwa 3,sasa bajeti naona shida kuna Mmbwa mmoja anatoka bandani anakamta kuku,
alikamata jogoo la jirani,jirani nadhani anamgwaya,namsubiri akamate jogoo langu,aone kivumbi changu na Mmbwa wake nawapeleka kuzimu pambavu...
 
Haujui Veterinary yoyote ?, Nadhani hapo ndio utapa uhakika.....
 
Back
Top Bottom