Habari wanajamvi. Mimi
nina umbwa wangu aina ys Germany S. ana miez 3, kwa bahat mbaya sikuwa
nimemchoma chanjo ya pavo ila za minyoo nilikuwa namchoma. Sasa hv
anaumwa na kuna daktar nimemwita amesema ni pavo...coz alianza kuwa
mpole juz na jana akawa anaharisha minyoo na kutapika...then jion
akaharisha kinyes kina km damu. Huyu dr.anmchoma sindano za minyoo,
antibiotics na vitamin ila bado naona hali si nzur...pls kwa mwenye
kujua altenativ au kwa mtu ambaye ana uzoefu kwenye hili msaada pls.
Asanteni.
Hii ndiyo bongo,huyu anahangaika na mbwa,wengine tezi dume.
duuuh
tuna mpwa kama 20 wa kuchungia ngombe sijawahi ona wa kitapika
HAO NI MBWA GANI wapeleke machungani
Mbona ni mbwa wa kawaida tu!
Asanten kwa ushauri...mbwa wangu alikuwa anaitwa "chief" amefarik...leo nimetoka kazin nikapewa hyo taarifa...imeniuma sana yan. Coz Chief alishakuwa part ya familia. But natafuta mwingine. Na nimejifunza kitu na hata kwa wengine pia....kuwapa mbwa chanjo mapema iwezekanavyo...usiseme nitampa kesho kesho kutwa...huez jua ataugua lin. Huyo hapo kwenye picha ndio alikuwa Chief wangu.
Sorry, nilijibu hapo juu kabla sijasoma hapa...huu ugonjwa ni mbaya sana, unakata utumbo wa mbwa, kupona ni nadra sana. Komaa kaka, usikate tamaa, sie wenye hobby na mbwa uwa hatuchoki kufuga.
Duh pole sana unywele mara nyingi akishafikia stage hiyo ya kutapika kupona ni bahat sana sana. Mm wangu alipata lakin hakufikia stage ya kutapika alikuwa anaharisha kinyes chenye damu.
Habari wanajamvi. Mimi nina umbwa wangu aina ys Germany S. ana miez 3, kwa bahat mbaya sikuwa nimemchoma chanjo ya pavo ila za minyoo nilikuwa namchoma. Sasa hv anaumwa na kuna daktar nimemwita amesema ni pavo...coz alianza kuwa mpole juz na jana akawa anaharisha minyoo na kutapika...then jion akaharisha kinyes kina km damu. Huyu dr.anmchoma sindano za minyoo, antibiotics na vitamin ila bado naona hali si nzur...pls kwa mwenye kujua altenativ au kwa mtu ambaye ana uzoefu kwenye hili msaada pls. Asanteni.